Wamasqi walikua watu dhaifu sana. Nasikia pia walitumika kama puppets ndo maana wazungu wanawapenda hadi leoMkoloni hakusubutu kuwagusa hao.
Kuna kitabu cha historia nilisoma kuna KIONGOZI WAO alipambana sana na wakoloni mpaka akawashinda.
Yote ya yote,hata mkoloni naye alijifikiria mara mbili mbili we Kabila vijana wote Wana some,nkuku na rungu yanini kujirisk.
Walikua vibaraka wa wazungu. Wazungu hawakuona haja ya kupambana na watu ambao hawana upinzani wowote. Wakaamua wasiwaharibie.Wamasqi walikua watu dhaifu sana. Nasikia pia walitumika kama puppets ndo maana wazungu wanawapenda hadi leo
Wao waliamua ku-collaborate, kulikuwa na ugomvi kati ya makaka wawili (kuitawala Masai society) chief Lenana na nduguye. Chief Lenana akaamua kuweka urafiki na wazungu ili wamsaidie kupambana na choko choko toka kwa kaka yake!Walikua vibaraka wa wazungu. Wazungu hawakuona haja ya kupambana na watu ambao hawana upinzani wowote. Wakaamua wasiwaharibie.
Lakini hadi leo unaweza ona ni kiasi gani bado wako dhaifu kimbinu. Bado wanaishi maisha magumu na ni wepesi kudanganyika.
maasai alichokifanya ni kumsogelea mzungu na kuanza kumshangaa basi, hakuna alichofanya. hata wazaramo waliamua kucheza ngoma za viono tu wakati mzungu na mwarabu wanawafanya vyovyote wapendavyo. bure kabisa.Ili kabila linalotambulika kama mashujaa wa kuua Simba ili uonekane kidume cha mbegu.
Kabila ambalo kabla ya kujigeuza kuwa walinzi na wasusi mjini kila mtu alikuwa akiowagopa kutokana na tabia zao za kutembea na fimbo pamoja na sime kiunoni, sana sana Kwa viana wao wa kimorani.
Sijawahi sikia au kusoma popote pale kama waliwahi kupambana wakati wa ukoloni kama ilivyo kwa baadhi ya makabila mengine mf, wahehe na chief mkwawa wao
Hili kabila la Wamasai kuna historia yeyote kweli inayowahusu ya wakati wa ukoloni kama ipo naomba niambiwe ili niwajue vyema,
Movement zao, mapambano yao dhidi ya ukoloni.
Ili kabila linalotambulika kama mashujaa wa kuua Simba ili uonekane kidume cha mbegu.
Kabila ambalo kabla ya kujigeuza kuwa walinzi na wasusi mjini kila mtu alikuwa akiowagopa kutokana na tabia zao za kutembea na fimbo pamoja na sime kiunoni, sana sana Kwa viana wao wa kimorani.
Sijawahi sikia au kusoma popote pale kama waliwahi kupambana wakati wa ukoloni kama ilivyo kwa baadhi ya makabila mengine mf, wahehe na chief mkwawa wao.
Hili kabila la Wamasai kuna historia yeyote kweli inayowahusu ya wakati wa ukoloni kama ipo naomba niambiwe ili niwajue vyema,
Movement zao, mapambano yao dhidi ya ukoloni.
Kwahiyo ukitaja wakoloni, waarabu hawahusiki ?Ukifuatilia makabila mengi yalioonesha resistance ni yale yaliotawaliwa na waarabu au kulikuwa na waarabu nyuma yao. Waarabu waliwahimiza kuwapinga wakoloni kwa kuwa walikuwa ni wakristo ndo maana ukiangalia resistance nyingi zilitokea mkoa wa pwani na tabora ambapo waarabu walijiestablish. Makabila yaliowapokea wakoloni ni yale ambayo hayakuwa na influence ya waarabu kama kanda ya kaskazini wote, na wahaya,wanyakyusa na hawa ndo watu wenye maendeleo leo hii
Kanda ya Kazkazini walileta upinzani sana kwa Wajerumani.Ukifuatilia makabila mengi yalioonesha resistance ni yale yaliotawaliwa na waarabu au kulikuwa na waarabu nyuma yao. Waarabu waliwahimiza kuwapinga wakoloni kwa kuwa walikuwa ni wakristo ndo maana ukiangalia resistance nyingi zilitokea mkoa wa pwani na tabora ambapo waarabu walijiestablish. Makabila yaliowapokea wakoloni ni yale ambayo hayakuwa na influence ya waarabu kama kanda ya kaskazini wote, na wahaya,wanyakyusa na hawa ndo watu wenye maendeleo leo hii
kwenye baadhi ya vitabu vya historia kenya wamewaita kuwa walikuwa corroborator kwa upande wa huku tanzania historia yao enzi za ukoloni sijawahi isoma walivyoshiriki ama kutoshiriki kupambana na ukoloni ila nachelea kuwaita dhaifu maana kwa sasa nchi zote za africa ni corroborator tuWamasqi walikua watu dhaifu sana. Nasikia pia walitumika kama puppets ndo maana wazungu wanawapenda hadi leo
Wamasai ni dhaifu kwa mbinu ipi? Acha kuropoka hovyo. Uimara wa jamii ni pamoja na kuwa na mfumo wa maisha ambao uko defined na preserved. Pia wana mfumo wao wa uzalishaji mali kwa maana ya kuchunga mifugo na kulima kwa uchache. Ni jamii inayoamini katika kuzalisha mali na kupambana na mazingira bila kuendekeza kulalama.Walikua vibaraka wa wazungu. Wazungu hawakuona haja ya kupambana na watu ambao hawana upinzani wowote. Wakaamua wasiwaharibie.
Lakini hadi leo unaweza ona ni kiasi gani bado wako dhaifu kimbinu. Bado wanaishi maisha magumu na ni wepesi kudanganyika.
Kwahiyo ukitaja wakoloni, waarabu hawahusiki ?
Mwarabu sio mkoloni ni mfanyabiasharaKwahiyo ukitaja wakoloni, waarabu hawahusiki ?