Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah mkoloni hakuwa na time na ng'ombe.Wamasai asili yao ni kuhama hama, mali kubwa wanayoithamini ni mifugo....na ili kupambana lazima uwe na cha kupambania na uwe na sababu inayokidhi.
Njia pekee ya kumchokoza Mmasai umnyang'anye/umuibie Ng'ombe wake....sasa Mkoloni na Ng'ombe wapi na wapi?.
Hao wengine walilazimika kupambana kupigania mashamba/ardhi zao.
Sio kweli..Mtemi Mirambo aliwanyuka waarabu na wazungu bila kujali dini zao. Mrugaruga mvuta bangi anajali nini kuhusu dini yako?Ukifuatilia makabila mengi yalioonesha resistance ni yale yaliotawaliwa na waarabu au kulikuwa na waarabu nyuma yao. Waarabu waliwahimiza kuwapinga wakoloni kwa kuwa walikuwa ni wakristo ndo maana ukiangalia resistance nyingi zilitokea mkoa wa pwani na tabora ambapo waarabu walijiestablish. Makabila yaliowapokea wakoloni ni yale ambayo hayakuwa na influence ya waarabu kama kanda ya kaskazini wote, na wahaya,wanyakyusa na hawa ndo watu wenye maendeleo leo hii
Bila kusahau mafunzaHistoria inatufundisha kuwa wakati wakoloni wanaingia Wamasai wa huku Bongo walikumbwa na kadhia mbili ambazo ziliwateza nguvu na kufanya washindwe kupambana na mkoloni wakaamua kuwa wapole tu. Moja ni mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kule Umasaini ulioua watu wengi na ugonjwa wa ndigana ulioua mifugo yao mingi.