Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa


Asha: Kuhusu kujua malezi mtu kalelewa kidogo ni ngumu sana siku hizi...maaana kwa siye ambao tayari tupo kwenye labour market muda mwingi twatumia kufanya kazi za MWAJIRI na muda kidogo unabaki kwa ajili ya kufanya huo uchunguzi wa maisha mtu alolelewa...na mbaya zaidi mtu kalelewa BUSH mjini hapa alikuja CHUO baada ya Chuo kaajiriwa na ASILI yake ni vigumu kuipata mana yeye ndo reliable source..na mpaka siku wapeleka POSA kijijini ndo waeza kuipata huku ushainvest vya kutosha..I pray MCHINA atengeneze mashine ya kudetect asili na malezi..
 
Hakuna kabila linalolazimisha ndoa (desperate) bali wapo watu.Huyo dada hakufanya hayo kwasababu ni Mnyakyusa bali kwasababu yeye anaitaka ndoa kiasi kwamba hajali anakujua miaka au wiki.
 

wewe kabila gani?mbona swali soo simple????????
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimuso far ..ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhhau mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhhau mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh
mimi ni mmasai nipokwenye relation na mtoto wa kimachame na ninampango wa kuowa mazee.wanamatatizo gani ili nifanye uchunguz zaid kabla cjamuingza ndani.
 

Nafikiri kabla hamjafikia maamuzi ya kuoana mtakuwa mmeishachunguzana vya kutosha kama utakuwa karibu nae unaweza kugundua ni malezi gani kalelewa kupitia matendo yake
 
Mimi si mnyakyusa ila usiconclude kuwa wanyakyusa wote ni desparate na kuolewa. Inawezekana dada uliyekutana nae alishaona ana kila dalili ya kudoda hence akajiwekea mkakate wa kukuganda.

Otherwise mimi sielewi mtu akinambia natafuta msichana/mvulana wa kumuoa. Unamtafuta wapi? Ndio maana nashauri watu mnapokuwa college msikazanie vitabu tu, smart people do more than one thing at a time, na wanaweza ku balance. Sasa kama ndio unasoma tu mpaka PhD ndio unakumbuka kuna kuoa ndio hayo ya dada nitamfutie mke.

Mke atafutwi kaka mnaanza kama marafiki bila hata wazo la ndoa baadae wote mnajisikia kuwa you can not leave without one another basi mnaamua kuoana. Sasa nyie mnaotafuta wake kama shilingi sijuhi kama ndoa zenu zitakuwa normal. Maana ni obvious utaja oa stranger, kila siku unagundua tabia mpya ya mwenza wako na ndo ushaoa ufanyeje.
 
Kwa wanavyotusema ehhhh...ngoja nifanye mpango wa kubadili kabila!!
vyeti vya ubatizo wa makabila natoa mimi hapa,waweza hama kwa wamachame ukajipumzisha kwa WAMARANGU,AU WAKISHIMUNDU wakati unatafuta permanent kabila kama vile WAKURYA,AU WAJALUO,.....natoa mimi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…