Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

No sio watusi ila wanafanana sana na watusi na wengine ni watusi wanaishi karagwe walikimbilia huko kipindi cha vita so na wao wanajiita wanyambo

Kama ndo nyie i see Mungu aliwapendelea kwa kuwapa sura nzuri alafu figa zile zile ambazo huwa zinaniharibia siku mimi.
 
Usijali kabila lina umuhimu japokuwa sio sana kiviiiile,angalia mambo
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimu

so far ..

ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhh

au mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhh

au mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh

hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
MKuu bia yangu itabidi unilipe kwa ur yuzifuli posti ambayo imenifanya nipaliwe na kuitema...!
 
vyeti vya ubatizo wa makabila natoa mimi hapa,waweza hama kwa wamachame ukajipumzisha kwa WAMARANGU,AU WAKISHIMUNDU wakati unatafuta permanent kabila kama vile WAKURYA,AU WAJALUO,.....natoa mimi hapa
Kuna mtu alinipa offer ya kua Mnyamwezi....ngoja nifikirie maana hali si tete!Ila bado itabidi unisaidie vyeti hivyo...
 
 
kabila ni muhimu. mfano, mtu wa kusini unaweza kuvamia mnyaturu, mmbulu, watu wa mkoa wa arusha etc ukakuta hana harage...sasa ndo mambo gani hayo wakati sie wengine tumezoea kushika pale penye harage...jamani huku singida nimejaribu kutafuta kila mwanamke, tena wazuri sana wa sura, lakini ukienda chini kuna kovu...nitashikashika wapi? kwahiyo no katerero?....duh.
 
hahahahaaaaaaa.........asante kwa ku-express ur self,KAZI NI KWAKO
 
Mchango wangu kaatika hili.
Kuoa si lazima kuchagua kabila japo kuna umuhimu wa kujua kabila fulani wana tabia zipi na nini chanzo. Ukishajua nini chanzo ni raisi sana kuya-handle mapungufu ya mwenza wako. Oa utakayepewa na Mungu - Sala ndo nguzo kuu.
 
Na hayo yapo?
 
Kuna mtu alinipa offer ya kua Mnyamwezi....ngoja nifikirie maana hali si tete!Ila bado itabidi unisaidie vyeti hivyo...
sawa,mnyamwez si mbaya,but sam tym anahusishwa na mambo ya ushrkina
 
yapo sana. sasa inakuwaje unaweka mkono kule unakuta kovu? sura nzuriii, chini kovu
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimu

so far ..

ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhh

au mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhh

au mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh

Hebu fafanua zaidi basi BOSS...usiishie njiani namna hii.
 
nimeipenda hii
 
Hebu fafanua zaidi basi BOSS...usiishie njiani namna hii.

mkuu wa machame wanasifika kwa kujali mali tu,no love

wahaya kwa umalaya

wazaramo wana culture ya mafiga matatu,bwana mmoja sokoni.mwingine buchani na mume nyumbani
 
Kabila si muhimu kama social value yenu ni kubwa na mnaunganishwa labda na imani vinginevyo kabila lina nafasi sana'mm mchaga nlikutana na mnyakyusa mmoja wote tuna tertiary education ila hatukufanana hata kidogo,nngoja ni natafute mchaga mwenzangu nione itakuwaje sisemi kutakuwa na amani bt i thnj kutakuwa some similarities!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…