Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

ManCity

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
40
Reaction score
14
Wadau..

Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha.

Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo muhimu kuzingatia wakati natafta mwenza.

Nawasilisha
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimu

so far ..

ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhh

au mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhh

au mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh
 
nyakati hizi bora utafute aliechanganya kabila

na alieishi mbali na kwao kama anatoka makabila ya utata.............

na kiwango cha elimu muhimu
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimuso far ..ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhhau mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhhau mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh
Aiseeee...kwahiyo mimi simfai???!Hey kabila sio muhimu bali tabia binafsi ndo muhimu!Siku hizi watu hawatambuliki kwa makabila wala koo zao tena kutokana na maendeleo kwahiyo we ukipata wa kabila lolote anayekidhi vigezo vyako jipatie mke!Usije ukadanganyika na kabila ndani ukaambulia usiyotarajia kisa tu umeambiwa kabila lake ni zuri!
 
wewe ni machame original kabisaaaa????????????????
 
wewe ni mtanzania kwel au mkimbizi? Unakumbuka kaul ya mwalimu nyerere acha hilo kwa tanzania unaoa kabila lolote
 
kabila lina nguvu kwenye utamaduni wa mtu

kusema tudharau makabila ni kujidanganya

huwezi linganisha wachaga na wagogo.....

wahaya na wapemba

au wanyakyusa na wazaramo.......

kuna tofauti kubwa

lakini kama watu hao wote wamezaliwa mfano sinza daresalaam,na wakasoma hapa hapa mjini

na kufika chuo kikuu mfano udsm

utakuta watakuwa kama hawana tofauti sana........

ndio maana nimesema ukikuta wa original wa huko huko
take care
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Inaonyesha bado hujamwona au kumpata wa kumpenda au kumwoa,mbona ukishampenda na kufall kabisa kwenye love utasahau kabila lake.Ni kweli kabila sometimes ni mhimu ila kwa vile mmetoka makabila tofauti nye wenyewe mnaweza mkaziacha baadhi ya desturi za kijadi ambazo zina athari katika uhusiano wenu au ndoa.
 
wakati ni huu, oa kijana mnayependana, lakini mmachame original lo!
mkisha kuwa na vijicent then kesha ukiomba, kwani hujui cku wala saa.
 
Wadau..

Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha.

Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo muhimu kuzingatia wakati natafta mwenza.

Nawasilisha

Kabila muhimu kamanda ukikutana na yale makabila yanayo husudu mafiga 3 unaweza kufa kwa hilo.

Au ukikutana na lile kabila ukoo mzima wanafunga safari kuja kusalimia binti yao sijui utawahifadhi wapi na wewe umepanga chumba kimoja
 
Wadau..

Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha.

Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo muhimu kuzingatia wakati natafta mwenza.

Nawasilisha

ok wapo komaa tu mzee
 
kabila lina nguvu kwenye utamaduni wa mtu

kusema tudharau makabila ni kujidanganya

huwezi linganisha wachaga na wagogo.....

wahaya na wapemba

au wanyakyusa na wazaramo.......

kuna tofauti kubwa

lakini kama watu hao wote wamezaliwa mfano sinza daresalaam,na wakasoma hapa hapa mjini

na kufika chuo kikuu mfano udsm

utakuta watakuwa kama hawana tofauti sana........

ndio maana nimesema ukikuta wa original wa huko huko
take care

nimeipenda, unajua wa2 wanachanganya mapenzi na kuoa.
ndo mana cku hizi kesi za talaka kibao, na hata utasikia
hujanioa bali tumeoana. aiseee yaani nikuchumbie mie then useme tumeoana?
 
Dogo,

Unaoa kabila au mwanamke?
Tafuta mwanamke unayempenda! Period!
 
nimeipenda, unajua wa2 wanachanganya mapenzi na kuoa.ndo mana cku hizi kesi za talaka kibao, na hata utasikia hujanioa bali tumeoana. aiseee yaani nikuchumbie mie then useme tumeoana?
Talaka zinasababishwa na kabila au tabia za watu binafsi?!Hayo maneno ya tumeoana yanatewa na kabila gani!?Wewe ndo unaechanganya kabila la mtu na tabia ya mtu.Huna tofauti na wazungu wanaowaita Waafrika wapumbavu!!!
 
Wadau..

Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha.

Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo muhimu kuzingatia wakati natafta mwenza.

Nawasilisha

Dogo ManCity,

Kwani wewe ni Kabila gani?

Tukilijua Kwanza Kabila lako itakuwa vyema sisi kukupa ushauri!
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimu

so far ..

ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhh

au mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhh

au mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh

Duuh! kwa hiyo unamaana hayo makabila yana nini au ndo unatuaribia soko?
Siku hizi kabila sio ishu, ishu ni tabia ya mtu na mienendo yake.
Kwa hiyo kaka kama unatafuta mchumba usiangaliea kabila kaangalie hulka ya mtu mwenyewe na malezi gani kalelewa.
 
wewe kabila gani asha???

wazaramo wanafundishwa kabisa kuwa na mafiga matatu
we unaona dogo hilo???????

wahaya ndio walioanzisha biashara ya kuuza k mjini hapa...
wamachame wanafahamika
 
Dogo,

Unaoa kabila au mwanamke?
Tafuta mwanamke unayempenda! Period!

Okada: Mpaka nawasilisha mada hii kuna jambo limenikuta hapa kati..nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda sana yeye ni Mnyakyusa..cha kushangaza mara tu nilipomuapproach hata hatujaenda far kwenye mahusiano akanza kunitumia message..

Mara oooh dada yangu anataka kukuona, mara mama anakuja week ijayo itabidi ukutane naye, mara kuna shughuli ya kifamilia nami niwepo..YAAANI HAPO TULIKUWA HATUNA HATA WEEK MOJA IN RELATIONSHIP..

Mara kwa mara akawa ananitumia message LINI TUNAOANA?????????? Mtu mzima nikajawa na HOFU sana juu ya haya mahusiano...

Yaaani maongezi kidogo lazima ataje kuhusu lini twaoana..sasa mie nikawa tofauti kidogo kumjibu akaanza kunipotezea...basi ikaend up kihivyo na relationship ilidumu wik mbili tu..

Ni Graduate wa Mzumbe na anafanya kazi Benk moja hapa mjini...NDO MANA NIKAOMBA USHAURI KWA WADAU
 
wewe kabila gani asha???

wazaramo wanafundishwa kabisa kuwa na mafiga matatu
we unaona dogo hilo???????

wahaya ndio walioanzisha biashara ya kuuza k mjini hapa...
wamachame wanafahamika

Mi sipo miongoni mwa hayo makabila lkn nipo jirani sana na wahaya kwa bukoba wanaweza kunitofautisha na wahaya lkn kwa huku mikoani watu wanatuita wahaya.
lkn ninachoweza kusema kwa sasa makabila yote naona ni sawa cha kuangalia ni mienendo ya mtu na matendo yake ndicho cha muhimu kuangalia ukifikia maamuzi ya kuoa au kuolewa.
 
Back
Top Bottom