Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
inavyoonekana CHURA KIZIWI na waliomtuma sasa wamelewa nguvu ya CDM kuwa ni zaidi ya kumlambisha Asali MBOWE!Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea?
Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua.
Je chaguzi zijazo like 2030, 2035 CCM watakubali Tena kuingia kwenye uchaguzi mkuu bila Chadema?
Karibu.
Washaelewa vzr tuinavyoonekana CHURA KIZIWI na waliomtuma sasa wameelwa nguvi ya CDM kuwa ni zaidi ya kumlambisha Asali MBOWE!
Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea?
Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua.
Je chaguzi zijazo like 2030, 2035 CCM watakubali Tena kuingia kwenye uchaguzi mkuu bila Chadema?
Karibu.
Mtazamo wangu.Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea?
Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua.
Je chaguzi zijazo like 2030, 2035 CCM watakubali Tena kuingia kwenye uchaguzi mkuu bila Chadema?
Karibu.
DaaaaWangombea wao wote wangekula vyuma
Uchaguzi wa Tanzania umegeuka kuwa takatakaMtazamo wangu.
Mauaji na vifo vya wanachama wa CHADEMA vingekuwepoktk kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi batili
Mbona sahivi tekaji ndo umeshamiri,,, so Serikali haijajifunza kituSababu kubwa ya vurugu ni watu kuchoka UTEKWAJI wa watu hovyo hovyo na kuuwawa, ndio mengine yakafuata..
Unajua utekwaji ukiachiwa uendelee, watu wenye nia ovu na hata wivu wa kibishara nk nao watateka na kuua hivyo ni hatari sana kwa usalama wa Nchi.
Suala la chadema kushiriki uchaguzi, hilo linajitegemea....
Na ni kipindi cha mauaji ya wapinzaniUchaguzi wa Tanzania umegeuka kuwa takataka
KabisaNa ni kipindi cha mauaji ya wapinzani
CHADEMA ya Bryson?Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea?