Hii inaonyesha picha gani
kuna haja ya mapinduzi.Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima
Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm.
Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya Uchaguzi nchi nzima Maana mda umeisha sana mwakani ni Uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu
Kuna haja gani ya Uchaguzi kama hakuna katiba na tume huru ya uchaguzi
Wanajeshi ni hatari zaidi hatutapata KATIBA MPYA wala nini tena huenda ndio yataanza kuua Wanasiasa na Wanaharakati sijui kama unakumbuka Majeshi yalivyoipora na kuua huko Nigeria mfano kisa cha Hayati Ken Sarowiwa.Kuna haja ya mainduzi
Je majeshi yetu yanaona kwamba hadhi yetu inashuka na Tunafanywa watwana na watu wanaotetea na waliokataliwa na wanachi