Je, kama heater inatumia umeme kuzalisha joto, ni kwanini freezer halizalishi umeme, na badala yake nalo linatumia umeme?

Je, kama heater inatumia umeme kuzalisha joto, ni kwanini freezer halizalishi umeme, na badala yake nalo linatumia umeme?

Motor ya Ndalilo. Nilichomaanisha ni motor ni opposite ya alternator, motor inatumia umeme kuzalisha mizunguko, Alternator/ Dynamo / Generator inatumia mizunguko kuzalisha umeme. Details za how tafuta
Ila ulipotumia sentensi 'kubadili polarity' kuelezea ulichoandika ulichomaanisha hapa sio sahihi bingwa.
 
Back
Top Bottom