Hii ya uongo ingenimaliza mkuuHahahaha... Kwanini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii ya uongo ingenimaliza mkuu
yeah true[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hususani kizazi hiki cha digitali, MTU anapigiwa simu na bibi yake ati bibi samahani nitakupigia Niko Google, bibi anatulia akidhani Google ni sehemu nyeti hairuhusiwi kuongea na simu
Vizuri, basi nenda ukauze chochote kilicho mali yako afu wape masikiniSinakosa lolote