Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokamilisha nusu ya diniBinafsi kuna kosa ambalo laiti kama ningehojiwa Leo basi ningepata Taabu sana kujitetea.
Kuna Fundi nimebeba kichwa cha cherehani kisa deni LA 50000 ila amekomboa
Pamoja na hayo nikakumbuka kale kamsemo ka Yesu, "KOPESHENI PASIPO KUTAZAMIA KULIPWA" nikagundua kuna kosa nimetenda.
Je, wewe ndugu yangu unadhani kosa gani lingekupa wakati mgumu kiama kingekuwa Leo.
[emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji216]
Kutowaamini na kuwachukia wanasiasa wa Chama DolaBinafsi kuna kosa ambalo laiti kama ningehojiwa Leo basi ningepata Taabu sana kujitetea.