Je, kama leo ingekuwa siku ya kiama kosa gani ambalo ungehojiwa na mungu ungeshindwa kujitetea?

Mmmmh hata kuliweka kosa Langu naogopa, Mungu nisamehe
 
Binafsi kuna kosa ambalo laiti kama ningehojiwa Leo basi ningepata Taabu sana kujitetea.

Kuna Fundi nimebeba kichwa cha cherehani kisa deni LA 50000 ila amekomboa

Pamoja na hayo nikakumbuka kale kamsemo ka Yesu, "KOPESHENI PASIPO KUTAZAMIA KULIPWA" nikagundua kuna kosa nimetenda.

Je, wewe ndugu yangu unadhani kosa gani lingekupa wakati mgumu kiama kingekuwa Leo.
[emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji216]
Kutokamilisha nusu ya dini
 
Kutowaamini na kuwachukia wanasiasa wa Chama Dola
 
Back
Top Bottom