Aah mzima wa akili anataka dawa ambayo haipo duniani? Si ndiyo?Huyu Faiza, kwa sasa ni wa kumpuuza. Majibu yake hayaashirii uzima wa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Dada mie sio mbumbumbu please! Pole sana! TubuWagonjwa wepi na vifo vipi unavyotaka zaidi ya vinavyotolewa na wizara ya afya? Umeshapitia website yao? mbona inaji update mara kwa mara? Au mpaka utangaziwe na Rais?
Pitia hapa Tanzania Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly & Children
Mambo ya kawaida hayo yasikutishe. Nini vhankunifsnya ni panivk? Misukule ya chadema? Hata mje elfu hapa na mimi peke yangu hamuwezi kunipanikisha.Acha kupaniki, tulia andika vizuri! Watangaze takwimu tena kwa usahihi! Angalia last update ni lini! Ndio tunataka zitangazwe hadharani sio website! Umeweka bila hata kusoma ulichoweka. Hapa sio vitendo Saccoss please
Acha kupaniki, tulia andika vizuri! Watangaze takwimu tena kwa usahihi! Angalia last update ni lini! Ndio tunataka zitangazwe hadharani sio website! Umeweka bila hata kusoma ulichoweka. Hapa sio vitendo Saccoss please
We zee kalale hujui uko kwenye high risk ya kufaWengi sana waliopona
Hivi Usangi hawajui tiba ya kujifusha wala nyungu?
Leo sina kazi ngoja nimnyooshe kidogo! Rafiki yangu wa siku nyingi huyu, tangu aingize watu mkenge kwenye Vitendo Saccoss naona halewekiHuyo kigagula kama yule kigagula wa kwenye kitabu cha machimbo ya Mfae Suleimani anakupotezea muda tu.
Anajua kabisa kuwa Serikali inapotosha .
Kuna mwenye muda wa maana akaingia na kulumbana kijuha JF?Huyo kigagula kama yule kigagula wa kwenye kitabu cha machimbo ya Mfae Suleimani anakupotezea muda tu.
Anajua kabisa kuwa Serikali inapotosha .
Nakusahau? Nakusauje wakati ulitapeli watu kwenye ile Saccoss kwa kivuli cha dini? Naanzaje kukusahau?Mambo ya kawaida hayo yasikutishe. Nini vhankunifsnya ni panivk? Misukule ya chadema? Hata mje elfu hapa na mimi peke yangu hamuwezi kunipanikisha.
Umenisahau?
Unamtisha Muislam kifo? Wakati umauti ni haki na siyo adhabu?
Achana na kura. Tunazungumzia takwimu za Coroña, usituchanganyie habari!Kuna mwenye muda wa maana akaingia na kulumbana kijuha JF?
Mtabwaja na kuhororoja sana, mwisho wa siku msema kweli ni kisanduku cha kura. Corona hajawa turufu bado.
Acha ujinga, hakuna mwislam muongo na mnafiki, acha kuchafua dini za watu! Usitaje tena uislam kwenye huu uhuni wako na uchumia tumbo wako.Unamtisha Muislam kifo? Wakati umauti ni haki na siyo adhabu?
Kifo mnakiogopa waabudu binaadam mwenzu na masanamu.
Sidhani kama katumwa. Kuna watu huwa wanafurahia kuwa wajinga. Wakilazimishwa kuelewa, hujiletea uwendawazimu ilimradi tu wakati wote wawe tofauti na walio na akili timamu. Shetani ni lazima awe na mawakala wake ambao wapo tayari kumtumikia wakati wote.Huyu bibi huenda katumwa kuharibu mada humu JF, mpuuzeni
Si pitia hapa...Achana na kura. Tunazungumzia takwimu za Coroña, usituchanganyie habari!
Hiki kichwa kina hasara kuwepo dunianiNani alikwambia usimfaye mtaalamu wako umpendae?
Hivi ukoo WA Mbowe waliokuwa hawafati wataalam hangs lilipowakumba na mkuu wa mkoanwa Far qkajankutuwekea wazi?
Kujifusha na majiusi ya malimao na tangawizi tuwachie sisi. Wewe fata mtaalam umjuaye. Ulizuiliwa?
Unataka takwimu za nini?
Weweeee nimekuwekea screenshot hapo usinichanganyie Habari! Wewe ni mchumia tumbi tu mwenye kiherehere kama kuku anayetaka kutaga!
Bibi Lea wajukuuUnamtisha Muislam kifo? Wakati umauti ni haki na siyo adhabu?
Kifo mnakiogopa waabudu binaadam mwenzu na masanamu.
Hilo Bibi Lina stress mwezi mtukufu huu halina uhakika wa futari na daku maana pale Lumumba buku 7 zimeadimikaWeweeee nimekuwekea screenshot hapo usinichanganyie Habari! Wewe ni mchumia tumbi tu mwenye kiherehere kama kuku anayetaka kutaga!
Akili tinamu ni Ile ya kulazimisha dawa isiyokuwepo duniani?Sidhani kama katumwa. Kuna watu huwa wanafurahia kuwa wajinga. Wakilazimishwa kuelewa, hujiletea uwendawazimu ilimradi tu wakati wote wawe tofauti na walio na akili timamu. Shetani ni lazima awe na mawakala wake ambao wapo tayari kumtumikia wakati wote.
Mungu hujivunia watu werevu lakini wao walioikataa akili, hujitia uwendawazimu. Hawa ni mali ya shetani.
Dini zote zina nyakati za kujirudi. Kujipima ulipokosea, kufanya toba na kuyaanza maisha upya. Baadhi ya madhehebu ya Kikristo wana Kwaresma, Waislam wana mfungo, kama ule wa Ramadhani. Sasa ukaona kipindi cha mfungo wa ramadhani, mwislamu anaporomosha kejeli, matusi na dharau, ujue ni wale walioamua kumfia ibilisi. Yaani wakati wengine wanakazana kumrudia Muumba wao, wao wanakazana kumkumbatia ibilisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona imekuja kuweka akili zenu sawa wanalumumba na wewe soon utaanza kunena kwa lugha Kama msando, endelea kupambana hapa jf siku zako za kunena kwa lugha zipo njiani as long corona bado yupoAkili tinamu ni Ile ya kulazimisha dawa isiyokuwepo duniani?
Msiwe na hofu. Soma..
CONVID 19 Facts and Fears