Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Acha kupaniki, tulia andika vizuri! Watangaze takwimu tena kwa usahihi! Angalia last update ni lini! Ndio tunataka zitangazwe hadharani sio website! Umeweka bila hata kusoma ulichoweka. Hapa sio vitendo Saccoss please
Mambo ya kawaida hayo yasikutishe. Nini vhankunifsnya ni panivk? Misukule ya chadema? Hata mje elfu hapa na mimi peke yangu hamuwezi kunipanikisha.

Umenisahau?
 
Huyo kigagula kama yule kigagula wa kwenye kitabu cha machimbo ya Mfae Suleimani anakupotezea muda tu.

Anajua kabisa kuwa Serikali inapotosha .

Leo sina kazi ngoja nimnyooshe kidogo! Rafiki yangu wa siku nyingi huyu, tangu aingize watu mkenge kwenye Vitendo Saccoss naona haleweki
 
Huyo kigagula kama yule kigagula wa kwenye kitabu cha machimbo ya Mfae Suleimani anakupotezea muda tu.

Anajua kabisa kuwa Serikali inapotosha .
Kuna mwenye muda wa maana akaingia na kulumbana kijuha JF?

Mtabwaja na kuhororoja sana, mwisho wa siku msema kweli ni kisanduku cha kura. Corona hajawa turufu bado.
 
Mambo ya kawaida hayo yasikutishe. Nini vhankunifsnya ni panivk? Misukule ya chadema? Hata mje elfu hapa na mimi peke yangu hamuwezi kunipanikisha.

Umenisahau?
Nakusahau? Nakusauje wakati ulitapeli watu kwenye ile Saccoss kwa kivuli cha dini? Naanzaje kukusahau?
 
Kuna mwenye muda wa maana akaingia na kulumbana kijuha JF?

Mtabwaja na kuhororoja sana, mwisho wa siku msema kweli ni kisanduku cha kura. Corona hajawa turufu bado.
Achana na kura. Tunazungumzia takwimu za Coroña, usituchanganyie habari!
 
Attachments

  • Screenshot_20200429-072323.png
    Screenshot_20200429-072323.png
    63.6 KB · Views: 1
Unamtisha Muislam kifo? Wakati umauti ni haki na siyo adhabu?

Kifo mnakiogopa waabudu binaadam mwenzu na masanamu.
Acha ujinga, hakuna mwislam muongo na mnafiki, acha kuchafua dini za watu! Usitaje tena uislam kwenye huu uhuni wako na uchumia tumbo wako.
 
Huyu bibi huenda katumwa kuharibu mada humu JF, mpuuzeni
Sidhani kama katumwa. Kuna watu huwa wanafurahia kuwa wajinga. Wakilazimishwa kuelewa, hujiletea uwendawazimu ilimradi tu wakati wote wawe tofauti na walio na akili timamu. Shetani ni lazima awe na mawakala wake ambao wapo tayari kumtumikia wakati wote.

Mungu hujivunia watu werevu lakini wao walioikataa akili, hujitia uwendawazimu. Hawa ni mali ya shetani.

Dini zote zina nyakati za kujirudi. Kujipima ulipokosea, kufanya toba na kuyaanza maisha upya. Baadhi ya madhehebu ya Kikristo wana Kwaresma, Waislam wana mfungo, kama ule wa Ramadhani. Sasa ukaona kipindi cha mfungo wa ramadhani, mwislamu anaporomosha kejeli, matusi na dharau, ujue ni wale walioamua kumfia ibilisi. Yaani wakati wengine wanakazana kumrudia Muumba wao, wao wanakazana kumkumbatia ibilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikwambia usimfaye mtaalamu wako umpendae?

Hivi ukoo WA Mbowe waliokuwa hawafati wataalam hangs lilipowakumba na mkuu wa mkoanwa Far qkajankutuwekea wazi?

Kujifusha na majiusi ya malimao na tangawizi tuwachie sisi. Wewe fata mtaalam umjuaye. Ulizuiliwa?

Unataka takwimu za nini?
Hiki kichwa kina hasara kuwepo duniani
 
Sidhani kama katumwa. Kuna watu huwa wanafurahia kuwa wajinga. Wakilazimishwa kuelewa, hujiletea uwendawazimu ilimradi tu wakati wote wawe tofauti na walio na akili timamu. Shetani ni lazima awe na mawakala wake ambao wapo tayari kumtumikia wakati wote.

Mungu hujivunia watu werevu lakini wao walioikataa akili, hujitia uwendawazimu. Hawa ni mali ya shetani.

Dini zote zina nyakati za kujirudi. Kujipima ulipokosea, kufanya toba na kuyaanza maisha upya. Baadhi ya madhehebu ya Kikristo wana Kwaresma, Waislam wana mfungo, kama ule wa Ramadhani. Sasa ukaona kipindi cha mfungo wa ramadhani, mwislamu anaporomosha kejeli, matusi na dharau, ujue ni wale walioamua kumfia ibilisi. Yaani wakati wengine wanakazana kumrudia Muumba wao, wao wanakazana kumkumbatia ibilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili tinamu ni Ile ya kulazimisha dawa isiyokuwepo duniani?

Msiwe na hofu. Soma..

CONVID 19 Facts and Fears
 
Back
Top Bottom