Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Corona imekuja kuweka akili zenu sawa wanalumumba na wewe soon utaanza kunena kwa lugha Kama msando, endelea kupambana hapa jf siku zako za kunena kwa lugha zipo njiani as long corona bado yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unafikiri kuna.mwana CCM anaezuiliwa kunena kama kule Ufipa? sumaye yuko wapi?

Selasini kishaongea?
 
Ukiamka salama kuna mambo mawili uongee na Mungu wako. Umshukuru kwa kukuamsha salama na kukulinda mchana kutwa usipate changamoto ya upumuaji.
Yangu ni hayo tu.
 
Hilo Bibi Lina stress mwezi mtukufu huu halina uhakika wa futari na daku maana pale Lumumba buku 7 zimeadimika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.

Corona hajawa turufu bado. Mnajihangaisha tu.

Vipi familia za Mbowe zipo salama?

Waambieni Watanzania, ukweli siyo porojo, mtawafanyia nini ndiyo turufu pekee.
 
Kwa hiyp mmekubali bibi awatoe kwenye mada? Kwa nn msimpuuze?
Watanzania kwa kweli hatari kubwa iko mbele yetu na wengine tunachoweza ni kutoa tahadhari tu. Jemadari wetu kupitia kaupenyo kadogo anachungulia tu hii vita kutoka mafichoni.

Mbio zake zimefikia ukingoni na kama hatutachukua hatua tutalia sana. Hicho kigagula FaizaFoxy ndio hao hao mapepo ya coronavirus na yasituhangaishe
 
Faida gani ya kuuliza maswali ambayo hayana majibu?

Haya, tupe majibu na sisi tusiojuwa tupate faida.

Waswahili wanasema "kuuliza si ujinga".
Sister Safi sana umewahenyesha hawa wapumbavu, wanaamka asubuhi mara tutatengwa mara wanadai wapewe takwimu kama vile hawana kazi ya kufanya. Wakishaambiwa wagonjwa wapya 100, idadi mpya waliokufa 20 ndo itasaidia dawa ya Corona kupatikana?...
 
Anawajibu wa kimsingi wa kulinda uhai wa Raia wake kwa kiwango kinachostahili. Kama unadhani kinachotokea hivi sasa mitaani Watu kufa kama vifaranga na wewe ukaona ni kitu cha kawaida tu..wewe pia ni katili kama Simba mwenye njaa. Tumia mfungo wako vizuri angalau kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoooooo!!!!
 
Sidhani kama kuna wanaokufa wakaachwa kupimwa labda waliofia nyumbani na taarifa kutotolewa hasa vijijni. Kwa mijini wakazi wake wengi ni waoga akifa mtu mwenye dalili au mojawapo ya dalili hawathubutu kumgusa mpaka waje wenye nguo nyeupe na dawa ya kupuliza
 
m
Labda wanacompile maambukizi ya week ndio watupe taarifa
kumbuka Umi alisema wameamua kusema ukweli
 
Hii korona inaweza kuondoka na mtu!! haya wee!!
 
Washughulike na top 3, hao ndio wana ratibu yote yanayo endelea, wamjumuishe na Bashite pamoja na rais wa mawe.
 
JokaKuu anayemfanyia figisu Dr. Tedros ni kichaa moja tu, Donald Trump na Wamarekani walio wengi hawamuungi mkono. Kumbuka ushahidi upo kwamba awali Trump alimsifia sana Rais wa China. Ili kujinusuru ndio akamrukia Dr. Tedros.

..Na Trump ataungwa mkono na republicans.

..Democrats hawawezi kuingilia ugomvi huo na kuwa upande wa Dr.Tedros.

..salama ya Dr.Tedros ni Trump kushindwa uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…