FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hivi unafikiri kuna.mwana CCM anaezuiliwa kunena kama kule Ufipa? sumaye yuko wapi?Corona imekuja kuweka akili zenu sawa wanalumumba na wewe soon utaanza kunena kwa lugha Kama msando, endelea kupambana hapa jf siku zako za kunena kwa lugha zipo njiani as long corona bado yupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Selasini kishaongea?