Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

...Watu wanajifia ovyo baada ya maambukizi ya ndani kuwa makubwa ....

ili tusife ovyo tufanye nini?
 
Hatahivyo, waweza kuishitaki China just coz of taarifa za Corona haziko sawa au Corona yenyewe. Lakini pia hata sisi Africa kama tupo serious au makini twaweza kuwashitaki pia nchi tajiri waliotupeleka utumwani - slavely in Africa. Watu wengi walikufa katika kupelekwa kutufanyisha kazi ngumu America , Germany etc.
umenikumbusha ile kesi ya wakenya kudai fidia dhidi ya vita ya Maumau!
 
Sijui unaongelea swali gani ndugu yangu ila kwa kukumbushia tu swali liko hivi...Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Niza doyi
, kwa ufahamisho tu COVID-19 kwa sasa ni janga la dunia na mataifa yote yapo vitani yakipambana na adui huyu asiyeonekana. Hivyo ni jukumu la kila taifa kutoa ushirikiano utakaowezesha kuangamizwa kwa adui huyu na silaha mojawapo ni upashanaji wa takwimu sahihi.

Katika vita hii athari za kutoa takwimu zisizo sahihi ni kubwa sana kwani zinapotosha ufuatiliaji wa namna adui huyu alivyojipanga, anavyosambaa na kwa kasi gani. Taifa lolote linaloficha au kinalotoa taarifa zisizo na ukweli zinahatarisha na kudunisha mipango ya kukabiliana na adui huyu.

Kama itathibitika kuwa takwimu tunazotoa si sahihi lazima tu tutawajibishwa na hii mada ni tahadhari tu kwa wahusika kuhakikisha hatuvunji makubaliano ya kimataifa.
Mag,it seems you are here kunyoosha mambo ya the Deep State,and that is to bring constant fear and uncertainty to the populace and put humanity in line with the way of thinking of the NWO.I have seen this trend in JF.I am sorry to say you guys are being used kama makarai,ila hamuwatendea haki watu.Mtu anaonyesha makaburi ambapo anasema wazi mtu kazikwa hapo,wala hana hakika kama huyo mtu amekufa kwa C-19 au la.Sasa kuwaonyesha watu hayo makaburi mengi kuna maana gani,kama sio ku-lure watu into believing kwamba huyo mtu kafa kwa C-19 na wote waliozikwa hapo wamekufa kwa C-19.Au unaonyesha gari likichukua jeneza barabarani,message unayopeleka kwa watu ni kwamba C-19 inaua sana Tanzania wakati huna uhakikika kwanza kama huyo mtu kweli kafa kwa C-19 au la.Ninyi watu mnapaswa kukamatwa na kuwekwa korokoroni.This is misinformation and diception.Tatizo sio kubwa kama mnavyo li-potray,that is what I am saying,and that is what Dr.Buttar keeps reminding people.Remember that fear is worse than Corona itself.
 
Covid is a notifiable disease.It os against the law to hide it
Ni sheria ya nani,na nani kaficha.Acheni ujinga.Hivi who is worse of Marekani,Ulaya au sisi.Yaani ni kama you have emptied your heads hivi.Acheni ujinga,watu 16 in 56million tena hatuna uhakika kwamba wote ni Corona,kwa kuwa kipimo chenyewe ni flawed ni kifogo sana.Kwani Cancer,Malaria,Diabetes inaua wangapi,mbona hatutangazi?Acheni kutisha watu
 
Watu tunajifusha na majisibyq limao na tangawizi Kwa wingi, bila kusahau kusali sana na dua kwa wingi kwa muumba wetu, kama kawaida.
Kusali na uchawi kunaendana!? Mungu wa Isaka,Ibrahimu na Yakobo hawezi kukubali umuhusishe na ushirikina wako. Hivyo acha uongo na unafiki hapa.
 
Kwa Sasa Hakuna namna Tena ambyo Serikali inaweza kutoa taarifa sahihi hasa za Vifo vya korona. Watu wanajifia ovyo baada ya maambukizi ya ndani kuwa makubwa kwa sababu ya uzembe wa serikali na kupenda mapato. Na ikitokea Serikali inaweza kutoa taarifa sahihi, dunia utashangaa why Tanzania Tena Afrika
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi
 
Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo.

Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kutengwa na hata kushtakiwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu mlipuko hatari kama huu wa COVID-19.

Je, katika hali kama hii Tanzania itapona?
Kutoka Huko unakotamani tupelekwe VP na wao wawajibishe iwapo ni kweli yametokea haya???

Coronavirus: Government 'close to lies' over coronavirus deaths, warns expert

Teachers union blasts Trump administration for 'bluster and lies,' and for suggesting schools should 'open soon'

All the President’s Lies About the Coronavirus
 
Ofcourse sisi tunakwamisha juhudi za dunia nzima katika kupambana na hili janga kwa sababu ya kiburi tu na ulevi wa madaraka!.

Kabla hata ya kushitakiwa tutakuwa blacklisted na Mataifa kwa kuhatarisha usalama wao.

Tulichokifanya TZ cha kuruhusu watalii kuingia nchini wakati dunia imechafuka na kisha kukataa kuchukua jitihada za kuzuia huu ugonjwa usisambae nchi nzima ni kitendo cha watu wanaoangalia pafupi sana.

Lakini let me tell you one thing, Corona hii haitoishia kwetu sisi tu akina baba Kabwela, Itapiga familia zao na wao wenyewe hapo ndo watajua how shortsighted they were!
....
....Neno
 
Encyclopedia of American Loons!

View attachment 1434969
#45: Rashid Buttar
Among the most belligerent quacks in the States, Dr. Buttar is a medical doctor who, apart from his genuine qualifications, espouses a line of treatment for autism that is as bereft of scientific rigor as transcommunication.

Buttar has been under investigation by the North Carolina State Medical Board for a decade and for a variety of misconducts involving "unconventional treatments" to which he subjects autistic children and cancer patients - all for lots of money to line his pockets. He views the medical board, in his own words, as a "rabid dog."

Ultimately, the medical board has recommended restricting Dr. Buttar's license to prohibit him from treating children or patients with cancer. That hasn’t stopped him (discussed here; for a more neutral assessment go here).

Among his more famous autism treatments is the transdermal chelation cream (a.k.a. “Buttar’s butter”). He has been known to come up with some truly bizarre protocols to treat autism, with rumors that Dr. Buttar's armamentarium of woo even included urine injections to "boost the immune system". Of course the fees are exorbitant.

His cancer quackery is even worse, and Buttar has apparently said that ”it didn't matter what kind of cancer anybody had, he could cure it."

And yes, it is there, all of it: Buttar believes most patients with cancer also have high levels of heavy metals, such as mercury, and other toxins, such as pesticides, because of environmental exposure”. His treatments include chelation, ozone therapy and hyperbaric oxygen chambers – dangerous, potentially lethal devices or regimes with not the slightest trace of evidential support for any claims to efficacy. He even has an AirEnergy Machine.

Btw, his website prominently displays the following quote: "All truth passes through 3 phases: First, it is ridiculed. Second, it is violently opposed, and Third, it is accepted as self-evident."

Anyone who uses this quote as support for his or her ideas is a seriously delusional crackpot. That’s a law.
Dr.Buttar anakuwa ridiculed na watu kama ninyi who are agents of the Deep State a.k.a NWO,kwa sababu ya what he stands for:true medical science,not fake science which the Deep State propagates on C-19.Ridicule and murder are the tactactics you use to silence truth,shame on you.

The truth however is that Dr.Buttar is a very distinguished scientist, who stands for truth,sio huu ujinga unaosambazwa na fake medical scientists paid for by the Deep State.CV ya Dr Buttar inaonyesha wazi how distinguished he is in his medical profession.The following information useful information also shows Dr.Buttars' CV.




Published on 6 Jan 2019

For resources and additional information, visit Join IADFW – AskDrA | Ask Dr. Buttar

Rashid A. Buttar, DO, FAAPM, FACAM, FAAIM: Dr. Rashid A. Buttar received his undergraduate degree from Washington University in St. Louis with a double major in Biology and Theology at age 21, and then attended medical school at the University of Osteopathic Medicine and Health Sciences, College of Osteopathic Medicine and Surgery in Des Moines, Iowa, graduating with his medical degree at age 25. He trained in General Surgery and Emergency Medicine and served as Brigade Surgeon for 2nd Infantry Division, Republic of South Korea, and later as Chief of the Department of Emergency Medicine at Moncrief Army Community Hospital at Ft. Jackson in Columbia, South Carolina while serving in the US Army.

Dr. Buttar became an Eagle Scout at the age of 14, becoming the youngest person in the US to get his Eagle that year, and made the list for promotion to Major in the US Army at the age of 28, becoming the youngest person to make the list for Major that year in the US Army just prior to finishing his service in the Armed Forces. During his military career, Dr. Buttar had the privilege of serving with and being attached to the 2nd Infantry Division, the 101st Air Assault Division and the 5th Special Forces Group. Dr. Buttar is board certified and a Diplomate in Clinical Metal Toxicology and Preventive Medicine, is board eligible in Emergency Medicine and has achieved fellowship status in three separate medical organizations (Fellow of the American College for Advancement in Medicine, Fellow of the American Academy of Preventive Medicine, and Fellow of the American Association of Integrative Medicine).

Dr. Buttar now serves as the Medical Director for the Centers for Advanced Medicine with clinics on the east and west coast. The Centers specialize in the treatment and needs of patients refractory to conventional treatments and who have failed the standard approach to their disease process. With a special emphasis on the interrelationship between environmental toxicity and the insidious disease processes and the “up-regulation” of the immune system, the Center has attracted patients from 89 different countries suffering from autism, cancer, heart disease, stroke and many other conditions too numerous to list.

To see Dr. Buttar's full CV, go to Meet the Providers | Center for Advanced Medicine & Clinical Research...

To learn more and find additional resources, follow the links below:

Dr. Rashid A. Buttar
Dr. Rashid A. Buttar (@drbuttar) • Instagram photos and videos
Dr Rashid A Buttar, FAAPM, FACAM, FAAIM (@DrButtar) | Twitter
Center for Advanced Medicine & Clinical Research |
Advanced Medicine | Access the AHEAD Map™: The Most Effective Health Assessment Tool, for FREE!
https://www.advancedmedicineconferenc...
https://www.centersforadvancedmedicin...

The 9 Steps to Keep the Doctor Away: Simple Actions to Shift your Body and Mind to Optimum Health for Greater Longevity - The 9 Steps to Keep the Doctor Away - Dr. Rashid A. Buttar
by Rashid A. Buttar, DO, FAAPM, FACAM, FAAIM

Best Selling Author of the Wall Street Journal, USA Today and Amazon Best Selling Book, now an International Best Seller, translated into multiple languages and recipient of the Eric Hoffer Book Award and the AMESPA Book of the Year Award.
 
Back
Top Bottom