Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Aione Faiza Foxy
 
Kama
Kama huo ndio uhalisia basi huko akhera itakua ni mwendo wa kuchakata mbususu kwa kwenda mbele,maana wanawake 72 sio mchezo😅
 
very confusing
 
Haya sasa,
Wenye maigizo ya akhera sijui mbinguni karibuni kwa majibu.
 
bado tunaamishwa:
1. Kuna mto wa pombe tamu!
2, Ukiua wenzio unaenda ahera na unapokewa na mabikra swafi 4!
Halafu watu wanadanganywa hiki ni kitabu kilishushwa toka mbunguni 🤣
 
HAKUNA KUZAA , MAISHA YA KULE NI AINA TOFAUTI.
lakini kua chakula, nyama za Ndege, matunda, na vinywaji anuwai,
Bali na kila utachotamani utapewa.


Na huko peponi kama wanapelekeana moto wana pata watoto au hawapati nonsense
 
bado tunaamishwa:
1. Kuna mto wa pombe tamu!
2, Ukiua wenzio unaenda ahera na unapokewa na mabikra swafi 4!
Halafu watu wanadanganywa hiki ni kitabu kilishushwa toka mbunguni 🤣
Mim nakuuliza wewe,
Upande wenu wakiristo mukifufuliwa na kwenda Mbinguni mutapewa nini?
Nini Zawadi ya unyenyekevu wenu ili iwe tofauti na wale waliomuasi Mugu?
 
Mkuu mie hapo ndio huwa naamini kwa 100% hawa jamaa wana 'mbingu' yao tofauti kabisa na ile iliyohubiriwa Na Yesu Kristo.😀
Huko mbinguni muliko Ahidiwa na Yesu Kuna malipo gani mutapewa kama Wakiristo waamini?
 
Okay so Mungu atoe adhabu kwasababu watu hawamwabudu then mbinguni aruhusu watu wasimwabudu. Then what's the point of all this huku duniani kutaka watu waabudu wakati haina hata maan huko mbeleni. Na kwani aliekwambia binadamu anapenda starehe yenyewe nani kama sio anatafuta furaha ya moyo. Binadamu akiwa na furaha moyoni huwa hawazi starehe bali uendelevu wa furaha. Mtu akipandishwa cheo kazini huenda kustarehe jioni yake just tu kuextend amani ya moyo aliyoipata sasa vipi huyu mtu angepata uhakia kuwa amani itadumu kwa kuimba tu wala sio kunywa pombe au uzinzi asingetrade starehe kwa kuimba.
 
This natural selection is a fraud. Kwann ipendelee baadhi ya watu kwa vitu mbali mbali. Kwann iweke ubaya kati ya watu na watu kati ya wanyama na watu. Uthibitisho wenyew ni wa mwili tu jibu la kiroho inayotenda zaidi halina hili. Ieleezee kwann watu anaamua kusafiri kutoka sehem mbali mbali kutafuta namna ya kuishi na pia ielezee kwann mtu awe na utashi kuliko wanyama.
 
Mkuu huo ni uongo hakuna kitu kama hicho maana shetani anatoa ahadi za uongo haiingii akilini hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…