Je, kamatakamata itaisaidia CCM? CHADEMA tusiteteleke wananchi wameikataa CCM

Hivi huwa najiuliza vikosi vya idd Amini Uganda baada ya Idd Amin kutumuliwa ,ilikuaje ,
 
Nadhani Bado hamjaijua CCM nyny, wanachama wa CCM hawapo mitandaoni wapo site (makazini wanatafuta Hela). CCM si chama cha vibaka ni chama cha watu wenye mapenzi mema na Tanzania yetu ni chama cha kizalendo.
 
Hakuna mtanzania wa kuikataa CCM kutokana na uzalendo wake kwa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…