Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

escrow one

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
1,473
Reaction score
2,868
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
 
Wataanzia wapi?

Attachments

  • IMG_1386.MP4
    5.4 MB

Waliambiwa,ccm wakimalizana na wapinzani watararuana wenyewe kwa wenyewe.Hapo sasa patamu!****** mbele ya Kamati yake ya kuchapia wapinzani wake.
Katiba ndiyo tiba ya nchi hii.
 
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Huwezi kujitekenya halafu ukacheka hapo hapo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kivipi?? Dah ungeshadw mire light ingependeza sana, Nami nahisi kuna kitu fulani, yaliyosemwa na ndugai na yaliyosemwa na samia ni wazi kuna something seriois under the carpet
Mabadiliko makubwa kwenye mfumo yanakuja, tega sikio. Ndani ya miaka hii 4 iliyobaki tutarajie makubwa
 
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.

Yeye ndiye Spika wa hilo bunge hivyo Bunge ni lake na kajishushia hadhi yeye mwenyewe.
 
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Wapi wakati yeye ndio bosi wa mhimili.
 
Ndugai hajalidharu Bunge. Ili uitwe na kuhojiwa na kamati ya kinga, haki na madaraka ya bunge, ni lazima uwe umelidharu bunge au kiashiria cha namna hiyo.
 
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Prof. Asad alisema nini juu ya bunge lake na wakamfanya nini. Ni ubinafsi tu! Kuna kitu hakijamfurahisha kwa mama huyu! Hata kama napenda mnyukano wao uendelee.
 
Yeye yuko juu ya sheria. Genge la Magufuli. Hata wakikumiminia risasi, hawashitakiwi popote hapa Tanzania. Wana kinga eti. Kweli Katiba mpya inahitajika kwa udi na uvumba.
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
 
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Mwenyekiti wake kateuliwa na Spika
 
Back
Top Bottom