escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Mabadiliko makubwa kwenye mfumo yanakuja, tega sikio. Ndani ya miaka hii 4 iliyobaki tutarajie makubwaHizi zote ni dalili kubwa zinazoisukuma nchi yetu kuwa failed state
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.

Waliambiwa,ccm wakimalizana na wapinzani watararuana wenyewe kwa wenyewe.Hapo sasa patamu!****** mbele ya Kamati yake ya kuchapia wapinzani wake.Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Si kwamba Supika ana kinga ya kutoshitakiwa?
Huwezi kujitekenya halafu ukacheka hapo hapoWafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Mabadiliko makubwa kwenye mfumo yanakuja, tega sikio. Ndani ya miaka hii 4 iliyobaki tutarajie makubwa
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Wapi wakati yeye ndio bosi wa mhimili.Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Ndugai hajalidharu Bunge. Ili uitwe na kuhojiwa na kamati ya kinga, haki na madaraka ya bunge, ni lazima uwe umelidharu bunge au kiashiria cha namna hiyo.Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Prof. Asad alisema nini juu ya bunge lake na wakamfanya nini. Ni ubinafsi tu! Kuna kitu hakijamfurahisha kwa mama huyu! Hata kama napenda mnyukano wao uendelee.Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Mwenyekiti wake kateuliwa na SpikaWafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?