Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

Akahojiwa kipi wakati ni ukweli shehe, taifa lina deni kubwa hakuna siri makaratasi yanaongea
 
Naambiwa kuwa Jobo amepewa wito wa kufika kwa Mkulu.

Utaratibu: akifika viunga vya Ikulu atatembea Kinape Nnauye.
 
Binge ni dhaifu,spika dhaifu na wabunge ni dhaifu pia.spika aitwe kamati ya maadili ya bunge, amelidhalilisha bunge.
 
Yeye yuko juu ya sheria. Genge la Magufuli. Hata wakikumiminia risasi, hawashitakiwi popote hapa Tanzania. Wana kinga eti. Kweli Katiba mpya inahitajika kwa udi na uvumba.
Tunapodai Katiba mpya tunaambiwa tumetumwa na mabeberu,wananchi hawahitaji hawajawahi kulibebea mabango,kuandamana nk.utadhani huwa wanapokea mabango/maandamano zaidi ya kuyazuia kizembe zembe na kunyanyasa wanaojaribu kufanya hivyo.
Madai ya Katiba ya wananchi hayana mbadala kwa ustawi wa taifa letu.Chukua hatua!
 
Wanakuhamisha njia hao.Dai katiba na dai Mbowe aachwe huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…