Je kampuni za simu za Sasatel na Smart zilikufa?

Je kampuni za simu za Sasatel na Smart zilikufa?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Naomba kujua.

Hizi kampuni za simu zilikufa?

Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?

Wateja wao walipelekwa wapi?

Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
 
Naomba kujua..
Hizi kampuni za simu zilikufa?

Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?..
Wateja wao walipelekwa wapi?
Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu?sasatel na smart?
Hao smart si ndo waliuzwa kwenda BOL au smile kama sikosei
 
Mitandao mipya hii au mikoani haikufika?
 
Sasatel iliingia kwa kasi na almanusura niingie mkenge. Inasemekana mmoja wa wanahisa wakubwa kwenye kampuni hiyo mpya ya mtandao alikuwa moto wa Rais mstaafu Mzee Ruksa.
Kampuni hiyo ilikosa wateja ikafa kibudu au kufilisiwa.... Au ipo ipo tu kimagumashi kama TTCL.
 
smart nina router yao hadi leo ipo kwa box tu, inatumia simcard na five ethernet port.

kama mtu ana utaalamu nayo tuongee.
 
Back
Top Bottom