Je kampuni za simu za Sasatel na Smart zilikufa?

Je kampuni za simu za Sasatel na Smart zilikufa?

Mimi nina mnara wa Cootel wazee wa radio, mje mnifate. Nina vifaa vyote. Bei kama bure.
 
Naomba kujua.

Hizi kampuni za simu zilikufa?

Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?

Wateja wao walipelekwa wapi?

Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
mitambo yA Cdma imefungwa nchi nzima muda kidogo, wote Zantel, TTCL na Sasatel hawapo sokoni kwenye hio tech.

Dovetel (hao sasatel) licence yao ilikuwa revoked (according to wikipedia)
source niliofanikiwa kupata ni hio

na Smart (zamani Benson) nao walifunga 2019

band yao ya 4g 2300 siku hizi naiona TTCL.
 
Naomba kujua.

Hizi kampuni za simu zilikufa?

Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?

Wateja wao walipelekwa wapi?

Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
Hizi kampuni ishu ni kwamba hawakufanikiwa kuliteka soko la Tanzania nadhani hawakuwa na marketing strategy nzuri ndio maana hawakupata wateja wengi,mara ya mwisho kuisikia smart ni 2020 kama sikosei na huduma zake mwisho ilikuwa kibaha kwa hawa sijui nini kiliwatokea ila Sasatel walipokonywa leseni ya kuoperate mobile services kwa kushindwa kulipa fees lakini bado wapo kama Internet service provider(ISP) hapa Tanzania
 
Nadhani haikufika mikoani. BOL au SMART walikuwa wanamilikiwa na Aga Khan kama sikosei, wameanza mwaka 2013 na kufa kwenye 2016 hivi.
Sasatel wamekufa kati ya mwaka 2013 au 14 hivi.
I thought BOL ni kampuni ya jamaa mmoja anauza vifaa ya electronics arusha anaitwa Benson?? Kumbe sio yake??
 
Sasatel iliingia kwa kasi na almanusura niingie mkenge. Inasemekana mmoja wa wanahisa wakubwa kwenye kampuni hiyo mpya ya mtandao alikuwa moto wa Rais mstaafu Mzee Ruksa.
Kampuni hiyo ilikosa wateja ikafa kibudu au kufilisiwa.... Au ipo ipo tu kimagumashi kama TTCL.
Hao Sasatel nilinunua simu lao mezani kwa ajili ya matumizi ya home,mpaka lipo tuu kama toy.
 
Nadhani haikufika mikoani. BOL au SMART walikuwa wanamilikiwa na Aga Khan kama sikosei, wameanza mwaka 2013 na kufa kwenye 2016 hivi.
Sasatel wamekufa kati ya mwaka 2013 au 14 hivi.
Mikoani walifika vizuri tu. 2013 nimeitumia smart nikiwa mkoani
 
Naomba kujua.

Hizi kampuni za simu zilikufa?

Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?

Wateja wao walipelekwa wapi?

Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?

Zilikufa...

Walifunga biashara na kudeclare kuwa wamefunga...

Wateja walitafuta ustaarabu mwingine especially wale BE customers, wale wateja waliokuwa na disputes nao walipelekana mahakamani...

Swali la mwisho, watajibu wanaojua...
 
Naomba kujua.

Hizi kampuni za simu zilikufa?

Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?

Wateja wao walipelekwa wapi?

Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
Umenikumbusha machungu ya Sasatel bro. Waliniuzia modem yao ya CDMA, just two weeks kabla hawajafilisika. Mpaka leo ninayo na iko useless kabisa. Waliingia na mguu mbaya sokoni, teknolojia ya CDMA wakati wenzao wote walikuwa kwenye GSM
 
DSM kuna minara ya wa veitnam ilipitishwa wakati wa JK.sijajua iliishia wapi na inafanya nini?
 
DSM kuna minara ya wa veitnam ilipitishwa wakati wa JK.sijajua iliishia wapi na inafanya nini?
Ndio inayotumika na Vietel (trading as Halotel Tanzania)
 
Back
Top Bottom