Chief-Mkwawa msaada pls!Naomba kujua.
Hizi kampuni za simu zilikufa?
Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?
Wateja wao walipelekwa wapi?
Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
mitambo yA Cdma imefungwa nchi nzima muda kidogo, wote Zantel, TTCL na Sasatel hawapo sokoni kwenye hio tech.Naomba kujua.
Hizi kampuni za simu zilikufa?
Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?
Wateja wao walipelekwa wapi?
Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
SMART 0798 na 0799No zao za simu zilianza na no. ipi
Umekuja dar kipindi cha jiwe itakuwa,sasatel ilianza kufifia tangu 2013.Iyo sasatel ndo nmeiskia leo[emoji848]
Hizi kampuni ishu ni kwamba hawakufanikiwa kuliteka soko la Tanzania nadhani hawakuwa na marketing strategy nzuri ndio maana hawakupata wateja wengi,mara ya mwisho kuisikia smart ni 2020 kama sikosei na huduma zake mwisho ilikuwa kibaha kwa hawa sijui nini kiliwatokea ila Sasatel walipokonywa leseni ya kuoperate mobile services kwa kushindwa kulipa fees lakini bado wapo kama Internet service provider(ISP) hapa TanzaniaNaomba kujua.
Hizi kampuni za simu zilikufa?
Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?
Wateja wao walipelekwa wapi?
Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
Nadhani yeye na bangi zakeUlienda wewe na nani?
I thought BOL ni kampuni ya jamaa mmoja anauza vifaa ya electronics arusha anaitwa Benson?? Kumbe sio yake??Nadhani haikufika mikoani. BOL au SMART walikuwa wanamilikiwa na Aga Khan kama sikosei, wameanza mwaka 2013 na kufa kwenye 2016 hivi.
Sasatel wamekufa kati ya mwaka 2013 au 14 hivi.
Hao Sasatel nilinunua simu lao mezani kwa ajili ya matumizi ya home,mpaka lipo tuu kama toy.Sasatel iliingia kwa kasi na almanusura niingie mkenge. Inasemekana mmoja wa wanahisa wakubwa kwenye kampuni hiyo mpya ya mtandao alikuwa moto wa Rais mstaafu Mzee Ruksa.
Kampuni hiyo ilikosa wateja ikafa kibudu au kufilisiwa.... Au ipo ipo tu kimagumashi kama TTCL.
Mikoani walifika vizuri tu. 2013 nimeitumia smart nikiwa mkoaniNadhani haikufika mikoani. BOL au SMART walikuwa wanamilikiwa na Aga Khan kama sikosei, wameanza mwaka 2013 na kufa kwenye 2016 hivi.
Sasatel wamekufa kati ya mwaka 2013 au 14 hivi.
Naomba kujua.
Hizi kampuni za simu zilikufa?
Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?
Wateja wao walipelekwa wapi?
Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
Iyo sasatel ndo nmeiskia leo[emoji848]
Kivipi mliwafilisi? Niliipeta net yao.Miaka ya nyuma tulienda kuwafilisi sasatel pale Penisula House karibu na Cocobeach.
Umenikumbusha machungu ya Sasatel bro. Waliniuzia modem yao ya CDMA, just two weeks kabla hawajafilisika. Mpaka leo ninayo na iko useless kabisa. Waliingia na mguu mbaya sokoni, teknolojia ya CDMA wakati wenzao wote walikuwa kwenye GSMNaomba kujua.
Hizi kampuni za simu zilikufa?
Walifunga biashara? Wali declare official kuwa wamefunga?
Wateja wao walipelekwa wapi?
Kuna anaejua kauli rasmi kuhusu hizi kampuni mbili za simu? sasatel na smart?
Ndio inayotumika na Vietel (trading as Halotel Tanzania)DSM kuna minara ya wa veitnam ilipitishwa wakati wa JK.sijajua iliishia wapi na inafanya nini?
Hao si ndio Halotel jomba?DSM kuna minara ya wa veitnam ilipitishwa wakati wa JK.sijajua iliishia wapi na inafanya nini?
Walihamishiwa kampuni mojawapo?