fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Duh duhJaribu kuwawekea ulezi kwenye masikio uone itakuaje kama hyo ikishindikana sijajua hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh duhJaribu kuwawekea ulezi kwenye masikio uone itakuaje kama hyo ikishindikana sijajua hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua kuna vicheche wanachungulia bandaniSasa Humu bandani sijui wameona hatari gani maana wiki hii ni balaa.
Mkuu nashani ulimaanisha ndege wa porini na si wanyama wa porini.Hakuna dawa ya kuzuia makelele kumbuka hao kanga ni wanyama wa porini hivyo kelele ni jadi. Yako cha msingi uza au kula Mie nilikua nao niliwala wote kwani wana kelele mno si mchana hata usiku wa manane
mkuu mimi nimefuga wale weupe na wale wa madoamadoa nilikuwa nao hamsini
wana kelele sana hasa weupe madume siku moja nilishindwa kuvumilia kelele zao nikawauza wote
kiukweli hawafai kufugia karibu na makazi ya watu
niliwatoa nikaweka bata
inategemea unataka mweupe au yule wa madoa madoa. mweupe wanauza kuanzia 50,000 wa madoa madoa hata 30,000 unapata. jaribu kucheki pale DSM ZOOHIVI MOJA ANAUZWAJE ??
Ukiona kanga wanapiga kelele jua fika wameona kitu ambacho kwao ni hatar..au kelele ambazo kwao ni ngeni kabisa.
All in all hawa ndege wanataga aisee!
Mpaka yai Sabini huko changamoto hawalalii
Mayai yao pia ni matamu na bei kuliko yai la kuku..