Je, Kanga ndio hupiga kelele namna hii? Kanga wangu wanapiga kelele mpaka imekuwa kero kwa majirani

Hao kanga wako watakuwa wote majike wamekosa dume hivyo hiyo kelele haitaisha mpaka waletee dume

Hao kanga nao wana hisia kama walivyo viumbe wengine ukiona hivyo jua wamekaribia taga
 
Hakuna dawa ya kuzuia makelele kumbuka hao kanga ni wanyama wa porini hivyo kelele ni jadi. Yako cha msingi uza au kula Mie nilikua nao niliwala wote kwani wana kelele mno si mchana hata usiku wa manane
Mkuu nashani ulimaanisha ndege wa porini na si wanyama wa porini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi nimefuga wale weupe na wale wa madoamadoa nilikuwa nao hamsini
wana kelele sana hasa weupe madume siku moja nilishindwa kuvumilia kelele zao nikawauza wote
kiukweli hawafai kufugia karibu na makazi ya watu
niliwatoa nikaweka bata




HIVI MOJA ANAUZWAJE ??
 
Ukiona kanga wanapiga kelele jua fika wameona kitu ambacho kwao ni hatar..au kelele ambazo kwao ni ngeni kabisa.

All in all hawa ndege wanataga aisee!
Mpaka yai Sabini huko changamoto hawalalii
Mayai yao pia ni matamu na bei kuliko yai la kuku..
 
Kweli kabisa
Ukiona kanga wanapiga kelele jua fika wameona kitu ambacho kwao ni hatar..au kelele ambazo kwao ni ngeni kabisa.

All in all hawa ndege wanataga aisee!
Mpaka yai Sabini huko changamoto hawalalii
Mayai yao pia ni matamu na bei kuliko yai la kuku..
 
Usiogope, wafuge tu wakifikia umri wa kuliwa nitafute nije kuwachukua niwale nikupunguzie stress ulizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…