Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Wewe unahamasisha nini hapa? Kama tunaweza kwenda kumwangalia diamond anapovua nguo tushindwe kwenda kwa mwakasege anayehamasisha kuishi vizuri na watu?

Mara 1000 ukamuangalie huyo Diamond kuliko kwenda kumpa hela Tapeli.

Ulishaambiwa ktk kitabu watakuja Manabii wa uhongo m1 wapo ndo kama huyo. Siku hizi kuna hadi Nabii M/mke tena anatumia na mkorogo yaani ni full Artificial.
 
Mara 1000 ukamuangalie huyo Diamond kuliko kwenda kumpa hela Tapeli.

Ulishaambiwa ktk kitabu watakuja Manabii wa uhongo m1 wapo ndo kama huyo. Siku hizi kuna hadi Nabii M/mke tena anatumia na mkorogo yaani ni full Artificial.

wa ukweli ni wapi?
"convince and not cofuse us"
 
Wanamwanza msiende na wake zenu jamaa anatisha kwa kuiba wake za watu huyu tahadhari

mkuu kwa ushauri wa bure kati ya mambo unayopaswa kuchunga ni kumsema mtu hasa mtumishi wa Mungu ambaye wewe huna ushaidi wa tuhuma hizo yatakukuta makuu msaada uupate kwake huyo huyo unayemsema. Usicheze na Mungu!
 

Bible ipi unawaagiza hao ndugu zako wasome?
 
Narudia kwa herufi kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.

Wachawi kwa wachawi mnajuana, lakini mchawi unapokwama kwa Mtumishi Wa Mungu aliye Hai.... Maskini unafikiri kwamba huyo ni mchawi kukuzidi! Anyway may be uzi huu umetupiwa kwa makusudi kwenye jukwaa ambamo wazinzi wengi hupatikana. Mungu na akuangazie Nuru yake uone.
 
mkuu tatizo si kumtuhumu, ila wanaishia kutuambia ni matapeli, wanatumia nguvu za giza tu. Kama ni kweli basi na watuambie nani si mtumishi tapeli na hatumi nguvu za giza ili tuujue ukweli, vingivevyo wao ni MPINGA KRISTO KAZINI

Hii kitu huwa natamani waifafanue! Lakini nilichogundua asilimia kubwa ya hawa wapinga Kristo ni watu wanaoziogopa injili za moto na kamwe hawazijui nyumba za ibada wala hawawafahamu watumishi hao zaidi ya kujazana dhambi kwenye vijiwe vya kahawa.So usije ukategemea solution yoyote kwa swali ulilowaulza KWA SABABU WAKO KWENYE GIZA TOTORO!
 
Wewe una uhakika gani? basi na wewe utakuwa ni mshirika wa hizo nguvu kutoka nigeria. Acheni kuropokwa ovyo bwana hata sio sifa ni ujinga
Narudia kwa herufi
kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza
anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka
nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.
 
Inahitajika roho ya kiinjilisti kurusha jambo la kiinjili humu. Nimesoma kimya kimya mwishowe nikaona bora niseme neno.
A piece of advice: usijaribu kumtetea mtu ambaye ambaye Mungu wake yuko hai.
 
mara 100 ukasikilize neno la uzima kuliko kwenda kwa diamond. wewe toa sadaka yako kwa Mungu kama yeye ni tapeli hukumu i juu yake ila wewe utakuwa umetenda wajibu wako
Mara 1000 ukamuangalie
huyo Diamond kuliko kwenda kumpa hela Tapeli.

Ulishaambiwa ktk kitabu watakuja Manabii wa uhongo m1 wapo ndo kama
huyo. Siku hizi kuna hadi Nabii M/mke tena anatumia na mkorogo yaani ni
full Artificial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…