joah pancras
Member
- Jul 9, 2013
- 63
- 12
Amina.sasa kwenye neno la Mungu tena unatafuta kampani?
we nenda kivyako banaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina.sasa kwenye neno la Mungu tena unatafuta kampani?
we nenda kivyako banaaa!
mungu akusamehe bure maana hujui usemalo!
Wewe unahamasisha nini hapa? Kama tunaweza kwenda kumwangalia diamond anapovua nguo tushindwe kwenda kwa mwakasege anayehamasisha kuishi vizuri na watu?
Mara 1000 ukamuangalie huyo Diamond kuliko kwenda kumpa hela Tapeli.
Ulishaambiwa ktk kitabu watakuja Manabii wa uhongo m1 wapo ndo kama huyo. Siku hizi kuna hadi Nabii M/mke tena anatumia na mkorogo yaani ni full Artificial.
Wanamwanza msiende na wake zenu jamaa anatisha kwa kuiba wake za watu huyu tahadhari
Wanamwanza msiende na wake zenu jamaa anatisha kwa kuiba wake za watu huyu tahadhari
Mwakasege ni msanii wa neno la Mungu kama walivyo Lusekelo na Kokobe na Rwakatare.Mwakasege anafanya miujiza ya uongo na kusimulia habari za uongo.Wote wanatumia nguvu za kiza kuwalaghai watu.Someni bible ndugu zangu mpate kuujua ukweli msikubali kusimuliwa bible.
Ndo hizohizo zimenisaidia mkuu kuliko wewe ambae bado unatapeliwa na Nguzu za Giza Nigeria,, narudia tena jamaa ni MATAPELI wote hao.
Narudia kwa herufi kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.
Mshukuru Mungu kwa kujua kwamba hao ni manabii wa uongo,matapeli wakubwa.
mwakasege mwanzoni alianza vizuri sana mahubiri ya mafundisho yake
lakini sasa asilimia 90 ya mahubiri yake ni "mtolee bwana akupe mafanikio kwa kufungua milango ya neema" i dont beleve in such kind of things
mkuu tatizo si kumtuhumu, ila wanaishia kutuambia ni matapeli, wanatumia nguvu za giza tu. Kama ni kweli basi na watuambie nani si mtumishi tapeli na hatumi nguvu za giza ili tuujue ukweli, vingivevyo wao ni MPINGA KRISTO KAZINI
Tapeli yule kama wengine tu.
Kamkamate umtie petroli.
Narudia kwa herufi
kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza
anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka
nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.
Sauti ya Ibilisi inavuma sana..!
Mara 1000 ukamuangalie
huyo Diamond kuliko kwenda kumpa hela Tapeli.
Ulishaambiwa ktk kitabu watakuja Manabii wa uhongo m1 wapo ndo kama
huyo. Siku hizi kuna hadi Nabii M/mke tena anatumia na mkorogo yaani ni
full Artificial.