Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

naona wengi wenu hamna ufahamu na maarifa. huwezi kuongelea uongo. bila kusema ukweli ni upi

nimependa hii, hao wote wanaosema watumishi ni matapeli, wanatumia nguvu za giza nimewaomba watuambie sisi ni wapi wa kweli na hawatumii nguvu za gza wamegoma kujibu badala yake wanapinga tu. Fuatilia post zangu ktk uzi huu utagundua hili.
 
Mwakasege kaanza lini utapeli?
Walio tapeliwa wako wapi?
Mbona hawajampeleka mahakamani?

kamwe hatakujibu hilo swali, badala yake atakwambia ni tapeli, ukimwuliza kwa nini atakwambia we elewa ni tapeli! Hii inanikumbusha upinzani aliokutana nao Paulo Efeso wakati anahubiri. Biblia inasema watu walikusanyika ktk viwanja vya michezo na wengine hata hawakujua sababu ya kukusanyika kwao wala kwa nini wanampinga Paulo. Kauli yao ilikuwa Artemi wa efeso ni mkuu. Waliendelea kusema hvyo masaa mawili bila kunyamaza. Soma matendo ya mitume 19:25-37.
 
Mwakasege mwanzoni alianza vizuri sana mahubiri ya mafundisho yake
Lakini sasa asilimia 90 ya mahubiri yake ni "mtolee bwana akupe mafanikio kwa kufungua milango ya neema" I dont beleve in such kind of things
ni kweli kabisa matoleo ni muhimu kama unataka baraka zako.eg fungu la kumi,malimbuko mbona baba yetu wa imani ibrahimu aliambiwa amtoe sadaka mwanae pekee?achen kuwanyooshea vidole watumishi wa MUNGU!!kama uko mlengo wa kushoto huwezi kuelewa}
 
lucifer na majeshi yake ya pepo wabaya + mpinga kristo@work....bt tuna raha coz tulishashinda na zaidi ya kushinda!...
..ipo cku icyo na jina,kila ulimi utakiri na kila goti litapigwa
 
....kwa faida yako,Mwakasege sio nabii wala mchungaji bali ni mwalimu......
....pia mwakasege na mkewe hawana kanisa wapo/wanasali chini ya thehebu la kilutheri(lutheran)
....elim ya bure,hakuna mganga yyt duniani mwny uwezo wa kutoa pepo except mwana wa Mungu(Yesu) kupitia watumishi wake anaowatumia km vyombo tu.
Haya,tuambie, 1 wapi bibble imeonya kutokuwa na kanisa? 2. Lini na wapi mwakasege alitumia pepo na miujiza ili kuwadanganya watu km unavyodai?
3. na utuambie yupi nabii wa ukweli? Manaake unapotuambia hyu muongo lazima utakuwa umemfuatilia na kujua wa ukweli ni nan
 
asante sn mpendwa umefafanua vzr sn,na mifano juu!
 
By stata mzuka
Kaliwe hela yako na tapeli.
Mwakasege kaanza lini utapeli?
Walio tapeliwa wako wapi?
Mbona hawajampeleka mahakamani?


Kwani Babu wa Loliondo kuna mtu alimpeleka mahakani kwa utapeli wote ule? Kujifanya mchungali kumbe mmeenda kumchangia hela ya Trekta, Fusso mbili, Nyumba kali tu tena ya kisasa kwa tsh 500.

Wanatapeli watu na gia zao kubwa ni kujifanya mchungaji wa Mungu.
 

jibu post zangu acha kukwepa hoja, usiwe unazungumza kama wamekuwekea maneno kinywani rafiki
 
Ubarikiwe kwa kutaka kwenda kwenye semina hiyo.ila naomba ujue jambo moja mambo yanayohusu imani yako ni vizuri ukaenda peke yako itakufanya uwe makini zaidi kusikiliza ujumbe husika.
 
Binafsi nampenda sana Mwakasege anagekuwa hajaoa ningeomba mungu anioneshe maoni

duuuh hii dunia ina mambo... so ukiwa kwenye mahubiri wewe unampenda tu na unawaza kwa nini ameoa?... bado tuna safari ndefu kuufikia ufalme wa mbinguni.... huenda huwa unajikuta umezini kwa matamanio yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…