mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8
Na mimi ndo nafika ngoja sie tule chakula cha uzima
wale wa mwakasege jamani me ndo naelekea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale wa mwakasege jamani me ndo naelekea.
naona wengi wenu hamna ufahamu na maarifa. huwezi kuongelea uongo. bila kusema ukweli ni upi
Dah huyu si voice of wisdom bali Roho wa Bwana yu ndani yake! AMEN
Mwakasege kaanza lini utapeli?
Walio tapeliwa wako wapi?
Mbona hawajampeleka mahakamani?
Na mimi ndo nafika ngoja sie tule chakula cha uzima
ni kweli kabisa matoleo ni muhimu kama unataka baraka zako.eg fungu la kumi,malimbuko mbona baba yetu wa imani ibrahimu aliambiwa amtoe sadaka mwanae pekee?achen kuwanyooshea vidole watumishi wa MUNGU!!kama uko mlengo wa kushoto huwezi kuelewa}Mwakasege mwanzoni alianza vizuri sana mahubiri ya mafundisho yake
Lakini sasa asilimia 90 ya mahubiri yake ni "mtolee bwana akupe mafanikio kwa kufungua milango ya neema" I dont beleve in such kind of things
Tena ishindwe kwa damu ya Yesu!
....kwa faida yako,Mwakasege sio nabii wala mchungaji bali ni mwalimu......Tangu lini kanisa likamilikiwa na mtu binafsi?? Rwakatare,Gwajima,Lusekelo,Malisa,Kakobe,Gamanywa, na walokole wengine wanamiliki makanisa kitu ambacho ni ubatili na bible imetuonya.Wanatumia nguvu za giza kama wafanyavyo waganga wa kienyeji kutuliza mapepo.Jina la Yesu wanalitumia kwa uzushi huku wakifanya mambo ya uganga makanisani.Mwakasege na mke wake ni matapeli bingwa kwa kutumia mapepo katika miujiza yao ya uongo.Manabii wa uongo hawa.
asante sn mpendwa umefafanua vzr sn,na mifano juu!umekomaa kusema si watumishi wa Mungu ila hujaweka wazi wapi ndio watumish. Kwani hujui hata Yesu alipokuwa duniani katika mwili hakuponya kila mgonjwa ila wale waliokuwa na haja, au unataka kujitoa ufahamu kuwa hata kipindi cha Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi ktk Israel na aliyeponywa alikuwa Naaman ambaye si Mwisrael? Au umesahau pia wakati wa Eliya kulikuwa na wajane wengi ila muujiza wa chakula ulifanyika kwa mama mjane wa Serepta tu? Je umesahau kuwa pia Yesu alipokuwa duniani hakufufua kila mtu ila watu watatu tu?
Ok unasema wanataka pesa umesahau pia kanisa la kwanza liliuuza kila kitu kwa ajili ya Injili?(matendo 4:32-37)
Kama hujui Mungu akurehemu, ila kama unajua WEWE NI AGENT WA MPINGA KRISTO.
Mwakasege kaanza lini utapeli?By stata mzuka
Kaliwe hela yako na tapeli.
Walio tapeliwa wako wapi?
Mbona hawajampeleka mahakamani?
asante sn mpendwa umefafanua vzr sn,na mifano juu!
Kwani Babu wa Loliondo kuna mtu alimpeleka mahakani kwa utapeli wote ule? Kujifanya mchungali kumbe mmeenda kumchangia hela ya Trekta, Fusso mbili, Nyumba kali tu tena ya kisasa kwa tsh 500.
Wanatapeli watu na gia zao kubwa ni kujifanya mchungaji wa Mungu.
Binafsi nampenda sana Mwakasege anagekuwa hajaoa ningeomba mungu anioneshe maoni
Na mimi ndo nafika ngoja sie tule chakula cha uzima
Je unajua nini maana ya Ushuhuda wa Yesu?lucifer na majeshi yake ya pepo wabaya + mpinga kristo@work....bt tuna raha coz tulishashinda na zaidi ya kushinda!...
..ipo cku icyo na jina,kila ulimi utakiri na kila goti litapigwa
umekosea jukwaa nenda habari mchanganyiko.nilikuja mbio nilijua unampenda amefumaniwa.