dismynder1
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 328
- 168
kwani we wa jinsia gani ewe mwanakondoo?
umekosea jukwaa nenda habari mchanganyiko.nilikuja mbio nilijua unampenda amefumaniwa.
Narudia kwa herufi kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.
mi napenda kutoa au kuwa na kampani na jinsia tofauti na yangu...kama wewe ni ke hebu nipitie hapa mtaa wa uhuru,kwenye roundabout ya kuelekea mbita na musoma road.
bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.
Wanamwanza msiende na wake zenu jamaa anatisha kwa kuiba wake za watu huyu tahadhari
sioni sababu ya kumtuhumu vibaya mtumishi wa mungu hakika chungeni maneno yenu mungu huwa anasikia na kujibu wanaoelewa wanafahamu. mimi nakushauri uende ukapate neema ya mungu usikubali kudanganywa mungu anasikia kila tuongeacho tuchunge midomo yetu midomo inaumba
hahahah,ok we ndo unipitie maeneo ya kirumba then twende,iwe mapema ili tuwahi viti.
Bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee Hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.
kwani we wa jinsia gani ewe mwanakondoo?
Mwakasege ni msanii wa neno la Mungu kama walivyo Lusekelo na Kokobe na Rwakatare.Mwakasege anafanya miujiza ya uongo na kusimulia habari za uongo.Wote wanatumia nguvu za kiza kuwalaghai watu.Someni bible ndugu zangu mpate kuujua ukweli msikubali kusimuliwa bible.
Ndo hizohizo zimenisaidia mkuu kuliko wewe ambae bado unatapeliwa na Nguzu za Giza Nigeria,, narudia tena jamaa ni MATAPELI wote hao.
Wacha wee ulivoongea utadhani una ushaidi kumbe hakuna lolote ambalo unauhakika nalo...wengine sa zingine muwe mnakaa kimya tu
Narudia kwa herufi kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.
hivi ukishamtuhum kwa vitu usivyo na uhakika navyo inakusaidia nn?
Km kuna wanaodanganywa c uwaache!?kwann uanze kumsemea m2 mabaya?
....acha dhihaka, hukumu ni ya Mungu
Wewe unahamasisha nini hapa? Kama tunaweza kwenda kumwangalia diamond anapovua nguo tushindwe kwenda kwa mwakasege anayehamasisha kuishi vizuri na watu?
samahani Kipochi. hivi wewe ni kipochi manyoya AKA papachu?guys, natamani kwenda kwenye mahubiri ya mwakasege
kesho,kwa yeyote aliyepo mwanza ambaye kesho ataenda kwenye semina,anijulishe tupeane kampani.