Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

hivi ukishamtuhum kwa vitu usivyo na uhakika navyo inakusaidia nn?
Km kuna wanaodanganywa c uwaache!?kwann uanze kumsemea m2 mabaya?
....acha dhihaka, hukumu ni ya Mungu
 
mi napenda kutoa au kuwa na kampani na jinsia tofauti na yangu...kama wewe ni ke hebu nipitie hapa mtaa wa uhuru,kwenye roundabout ya kuelekea mbita na musoma road.

hahahah,ok we ndo unipitie maeneo ya kirumba then twende,iwe mapema ili tuwahi viti.
 
sioni sababu ya kumtuhumu vibaya mtumishi wa mungu hakika chungeni maneno yenu mungu huwa anasikia na kujibu wanaoelewa wanafahamu. mimi nakushauri uende ukapate neema ya mungu usikubali kudanganywa mungu anasikia kila tuongeacho tuchunge midomo yetu midomo inaumba

Ndugu unamwongelea "mungu" au "Mungu"? Kama ni huyu tunayemwabudu naomba uwe makini unavyomwandika. Tumia herufi kubwa, sawa???
 
Bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee Hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.

Wewe unahamasisha nini hapa? Kama tunaweza kwenda kumwangalia diamond anapovua nguo tushindwe kwenda kwa mwakasege anayehamasisha kuishi vizuri na watu?
 
Mwakasege mwanzoni alianza vizuri sana mahubiri ya mafundisho yake
Lakini sasa asilimia 90 ya mahubiri yake ni "mtolee bwana akupe mafanikio kwa kufungua milango ya neema" I dont beleve in such kind of things
 
Mwakasege ni msanii wa neno la Mungu kama walivyo Lusekelo na Kokobe na Rwakatare.Mwakasege anafanya miujiza ya uongo na kusimulia habari za uongo.Wote wanatumia nguvu za kiza kuwalaghai watu.Someni bible ndugu zangu mpate kuujua ukweli msikubali kusimuliwa bible.

nani ambaye hatumii nguvu za giza? Plz tuelekeze huko ili hao ulowataja wasiendelee kutulaghai
 
Ndo hizohizo zimenisaidia mkuu kuliko wewe ambae bado unatapeliwa na Nguzu za Giza Nigeria,, narudia tena jamaa ni MATAPELI wote hao.

ukiniambia huu ni uongo bila kunijulisha ukweli hujanisaidia. Usiishie kutuambia wanatumia nguvu za giza tu, ila tuambie wapi wanapotumia nguvu za nuru. Vingivevyo wewe ni MPINGA KRISTO
 
Wacha wee ulivoongea utadhani una ushaidi kumbe hakuna lolote ambalo unauhakika nalo...wengine sa zingine muwe mnakaa kimya tu

mkuu si tu kuwa na ushahidi! Ila kama anasema ni tapeli/anatumia nguvu za gza, asiishie hapo tu, atuelekeze na wapi pia kuna ukweli na nuru. Kuongea bila kufikiri ni ugonjwa mbaya kuliko kulogwa
 
Narudia kwa herufi kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.

asante kwa kutujuza ukweli mkuu. Je manabii wa kweli ni wapi? Wanaotumia nguvu za nuru ni wapi? Kutuambia hatupo sahihi bila kutuambia ukweli ni upi ni uchuro
 
hivi ukishamtuhum kwa vitu usivyo na uhakika navyo inakusaidia nn?
Km kuna wanaodanganywa c uwaache!?kwann uanze kumsemea m2 mabaya?
....acha dhihaka, hukumu ni ya Mungu

mkuu tatizo si kumtuhumu, ila wanaishia kutuambia ni matapeli, wanatumia nguvu za giza tu. Kama ni kweli basi na watuambie nani si mtumishi tapeli na hatumi nguvu za giza ili tuujue ukweli, vingivevyo wao ni MPINGA KRISTO KAZINI
 
Why wanawake wanapenda mikutano ya mwakasege?.nigeria ile shauri yenu,hata yesu alisema ktk siku za mwisho watakuja manabii wa uongo na atawakana mbrle za baba yake...zindukeni!!
 
guys, natamani kwenda kwenye mahubiri ya mwakasege
kesho,kwa yeyote aliyepo mwanza ambaye kesho ataenda kwenye semina,anijulishe tupeane kampani.
samahani Kipochi. hivi wewe ni kipochi manyoya AKA papachu?
 
Back
Top Bottom