Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
guys, natamani kwenda kwenye mahubiri ya mwakasege
kesho,kwa yeyote aliyepo mwanza ambaye kesho ataenda kwenye semina,anijulishe tupeane kampani.
umekosea jukwaa nenda habari mchanganyiko.nilikuja mbio nilijua unampenda amefumaniwa.
Bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee Hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.
kiwango cha elimu kimeshuka sana mkuu na hizi ndizo baadhi ya athari zake.
Bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee Hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.
Kwani mkeo aliliwa?Wanamwanza msiende na wake zenu jamaa anatisha kwa kuiba wake za watu huyu tahadhari
umekosea jukwaa nenda habari mchanganyiko.nilikuja mbio nilijua unampenda amefumaniwa.