Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
World cup 2018 Midfield ya ufaransa ilikuwa niHabari za mda huu wakuu.
Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.
Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?
Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?
Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)View attachment 2362473
Ila kwa forward huyo kachoka.....Poa....
Ila kuna mtu pale France Squad bwana Olivier Giroud, piga ua ana namba, sijui shemeji yake Didier Deschamps..*****.
Sana, na anaweza asipangwe kabisaHata Paul Pogba naye ana wakati mgumu wa kuwemo kwenye kikosi cha kwenda kutetea ubingwa wao mwishoni mwa mwaka huu.