Habari za mda huu wakuu.
Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.
Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?
Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?
Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)
View attachment 2362473