NYAMKANG'ILI
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 223
- 112
Naomba kujua umri wa LULU ili nifahamu kama KANUMBA alikuwa akimbaka au la. Kisheria kama umri wake ni under 18, hata kama kakubali mwenyewe kuwekewa HOGO, KANUMBA atakuwa ni mbakaji. Naomba kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unafahamu sheria ya ndowa ya Jamhuri ya Tanzania ni umri gani msichana anaweza kuolewa na pili unafahamu kwa mujibu wa ile dini yetu mtoto wa miaka 9 ni ruksa kuolewa? usikurupuke kuanzisha thread kabla ya kufanya utafiti.Naomba kujua umri wa LULU ili nifahamu kama KANUMBA alikuwa akimbaka au la. Kisheria kama umri wake ni under 18, hata kama kakubali mwenyewe kuwekewa HOGO, KANUMBA atakuwa ni mbakaji. Naomba kujua
basi mshitaki kanumba na umfunge kifungo cha maisha
Kwa hiyo unataka marehemu ashtakiwe?!! ....... kile kitoto sidhani bikra ya mku*** kama anayo!! ndio useme kabakwa.
kwani kwenda nyumani kwa Kanumba maana yake anafuata HOGO la kanumba,we unadhani Lulu akimtembelea mtu ni kuwekewa HOGO tu!!!
Unauliza umri wa Lulu
hapo hapo unataka kujua kama Kanumba alibaka
na nyongeza, ushasema kanumba alibaka.
<bold;black>
Umecheza nafasi nyingi mno, mtoa mashtaka, mpelelezi, mwanasheria, hakimu, askari magereza, duh hii kiboko.
Hivi hili nalo ni swali la kuulizwa na Mwanamke kamili?Unajua kama walishatambulisha viungo vyao mpaka uulize hilo swali?
@'Mwanume kamili'. . .acha uchokozi!
Hivi hili nalo ni swali la kuulizwa na Mwanamke kamili?
Kwani mwanamke kamili anajua kila kitu? Embu nisaidie mwanaume kamili. . . . .ALIWAONA?