Je, kanumba kambaka lulu? Umri wake chini ya miaka 18?

Je, kanumba kambaka lulu? Umri wake chini ya miaka 18?

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
223
Reaction score
112
Naomba kujua umri wa LULU ili nifahamu kama KANUMBA alikuwa akimbaka au la. Kisheria kama umri wake ni under 18, hata kama kakubali mwenyewe kuwekewa HOGO, KANUMBA atakuwa ni mbakaji. Naomba kujua
 
basi mshitaki kanumba na umfunge kifungo cha maisha
 
Unauliza umri wa Lulu
hapo hapo unataka kujua kama Kanumba alibaka

na nyongeza, ushasema kanumba alibaka.

Umecheza nafasi nyingi mno, mtoa mashtaka, mpelelezi, mwanasheria, hakimu, askari magereza, duh hii kiboko.
 
sheria gani hiyo inayosema ukimlamba under 18 umebaka?
 
kwani kwenda nyumani kwa Kanumba maana yake anafuata HOGO la kanumba,we unadhani Lulu akimtembelea mtu ni kuwekewa HOGO tu!!!
 
Labda Lulu ambake Kanumba, ana umri mdogo lakini mambo yake makubwa kuliko mama yake.
 
Naomba kujua umri wa LULU ili nifahamu kama KANUMBA alikuwa akimbaka au la. Kisheria kama umri wake ni under 18, hata kama kakubali mwenyewe kuwekewa HOGO, KANUMBA atakuwa ni mbakaji. Naomba kujua
Hivi unafahamu sheria ya ndowa ya Jamhuri ya Tanzania ni umri gani msichana anaweza kuolewa na pili unafahamu kwa mujibu wa ile dini yetu mtoto wa miaka 9 ni ruksa kuolewa? usikurupuke kuanzisha thread kabla ya kufanya utafiti.

AAoMnz7QcrroAAAAAElFTkSuQmCC
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa hiyo unataka marehemu ashtakiwe?!! ....... kile kitoto sidhani bikra ya mku*** kama anayo!! ndio useme kabakwa.
 
Unajua kama walishatambulisha viungo vyao mpaka uulize hilo swali?

@'Mwanume kamili'. . .acha uchokozi!
 
kwani kwenda nyumani kwa Kanumba maana yake anafuata HOGO la kanumba,we unadhani Lulu akimtembelea mtu ni kuwekewa HOGO tu!!!

Sawa tumekuelewa.siku hizi ukienda kutembea kwa rafiki yako,sharth wote muvue nguo then mujifunike na towel??
Utake usitake,dogo alifuata HOGO.
 
Unauliza umri wa Lulu
hapo hapo unataka kujua kama Kanumba alibaka

na nyongeza, ushasema kanumba alibaka.

<bold;black>
Umecheza nafasi nyingi mno, mtoa mashtaka, mpelelezi, mwanasheria, hakimu, askari magereza, duh hii kiboko.

daaah we noma kaka
 
hakuna ubakaji uliofanyika kwani tayari Lulu ana umri wa zaidi ya miaka 18.
 
Nje ya mada. Hivi inakuwaje watu wanakubaliana kuwa secret lovers wakati wote ni single????? Mi ndo maana mtu akinambia sina boyfriend/girlfriend wakati namuona hana kasoro yoyote na conclude kuwa ni player (hana permanent)
 
Back
Top Bottom