Je, Kassim Majaliwa ni mwenye bahati ya kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 15 kuanzia 2015 hadi 2030?

Acheni ujinga basi. Yaani ndio kwanza 2021 unamsemea mtu 2030,huyo mtu hawezi kustaafu, hawezi kutolewa kwenye hio nafasi, hawezi kujiuzulu, hawezi kufa?
Kapuliza kipenga leo, hadi 2030
 
Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.

Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa oliyomuangukia hadi 2030.

Rais Samia Suluhu pia ikumbukwe hana kinyongo Cha kuwabadilisha watendaji wake mbalimbali serikalini. Hii imedhirishwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu waziri na Manaibu Makatibu kubaki walewale.

Hapa Sasa ndipo panapokuja uhakika wa Majaliwa kubaki Waziri Mkuu wa muda mrefu ktk Historia ya JMT. Ni maono na mtazamo wangu.
Usianze kumchuria mapema watamfungulia 'stud' za matairi
 
Mhh
 
Back
Top Bottom