Jnk official
Member
- Nov 25, 2024
- 24
- 20
Habari zenu wana JF mimi ni mgeni humu, na nilikua naomba mnisaidie japo ushauri.
Nina mjomba wangu .amemaliza kidato cha nne mwaka huu na nikimuuliza kuhusu ndoto zake na kitu anachopenda kufanya ananiambia anapenda computer na umeme na anatamani awe mtu anaefanya kazi za graphics design,videographer pamoja na photographer.
Huku akipiga na umeme so mnashauri nini apo je hivyo vitu vinne vina pesa? Au dogo atapoteza muda akisomea hivyo vtu? Na naombeni mnisaidie kwa wale wazoefu je akijiliwa na kujiajiri kipi kina manufaa zaidi.