Jnk official
Member
- Nov 25, 2024
- 24
- 20
dogo yuko art hasomi sience asa itakuaje?Umeme katika angle gani Sasa VETA NVA 1-3) au unasemea wa kwenye taasisi za elimu (NTA 4-6).
Maana VETA
1. Auto -electrics
2. Electrical installation
3. industrial electricity
Kwenye Taasisi za elimu
1. Electrical engineering
2. Electronics and telecommunication engineering
3. Computer engineering
4. Mechatronics
Hapo wewe sasa vile vile matokeo ya kidato cha 4 yanaruhusu hapo kwenye taasisi hizo bila kufaulu hesabu, physics na chemistry husomi.
Kingine cha msingi sana hizo fani ukiachana na darasani zinakutaka uwe mtundu mtundu mwenyewe usitegemee notes za skuli zikufikishe mbali penda kujiongeza mwenyewe hasa kote huko umeme na kompyuta wake.
Aanzie VETA sasa kwasababu ataanza National Vocational Award 1 hadi 3 then kama ana mbavu anaendelea sasa na National Technical Award 4 hadi 6.dogo yuko art hasomi sience asa itakuaje?
sawa nashkuru sana maana dog anapenda sana umeme na maswala ya designsAanzie VETA sasa kwasababu ataanza National Vocational Award 1 hadi 3 then kama ana mbavu anaendelea sasa na National Technical Award 4 hadi 6.
Kuhusu fani nadhani zote za umeme nimekuwekea pale VETA walizonazo kwa kurudia
1. Auto electrics
2. Industrial electricity
3. Electrical installation
4. Electronics
Kwahiyo itategemea na nyinyi mahitaji yenu hapo na nini mnahitaji ku dig deep ila zingatia ushauri kwamba kuwa bora ni mtu mwenyewe sasa akomae kujua siyo chuo ndiyo watamjenga.
Mpelekeni kwenye ulimwengu wa electronics sasa huko atakutana na vitu zaidi ya hiyo design yakesawa nashkuru sana maana dog anapenda sana umeme na maswala ya designs
sawa na ametuomba muda anasubiri matokeo aende veta apge short course ya umeme na computer koo unashaur tumpge umeme tu et kak?Mpelekeni kwenye ulimwengu wa electronics sasa huko atakutana na vitu zaidi ya hiyo design yake
Umo kwenye electronics akipevuka vizuri hiyo computer ndiyo atakuja kucheza nayo kiundani hasa itategemea na yeye huyo muhusika ila kama ana nia kweli kabisa akishafikia kwenye digital electronics na kama kweli anapendelea kufukunyua vitu atafika mbali atajikuta anaelekea kwenye programming mwenyewe tu.sawa na ametuomba muda anasubiri matokeo aende veta apge short course ya umeme na computer koo unashaur tumpge umeme tu et kak?
nashkur san kak vp naeza kupata contact zak il hata kwa normal txt tuweze kusaidiana ushaur?Umo kwenye electronics akipevuka vizuri hiyo computer ndiyo atakuja kucheza nayo kiundani hasa itategemea na yeye huyo muhusika ila kama ana nia kweli kabisa akishafikia kwenye digital electronics na kama kweli anapendelea kufukunyua vitu atafika mbali atajikuta anaelekea kwenye programming mwenyewe tu.
Computer hiyo mnayotaka akasome ya short course si hizi application software tu? Siyo mbaya kama anataka kujua Ms W, E n.k
Ila kama anataka tu Short course labda ana mtazamo wake ila kwasasa shule kubwa ipo YouTube mzee. Kimsingi awe nia ya kutaka kujua hakuna kitu kinachopatikana kwa urahisi anaweza kusoma VETA na bado akawa empty tu ishu ni yeye mwenyewe akomae sana.