Je, kati ya Zanzibar na Seychelles, kipi ni kisiwa kizuri zaidi kwa ajili ya kula raha?

Je, kati ya Zanzibar na Seychelles, kipi ni kisiwa kizuri zaidi kwa ajili ya kula raha?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Kuna baadhi ya watalii waliowahi kutembelea Zanzibar pamoja na Seychelles, wanasema kwamba Zanzibar inavivutio vingi na vizuri vya utalii ila tu havijawa branded ipasavyo.

Kule Seychelles wamejitahidi tu kubrand products zao pamoja na kuzipresent na kuzitangaza kisasa zaidi, na hapo ndipo wanapotupiga gap, ila general wanasema Zanzibar ipo vizuri zaidi, especially katika suala la utamaduni.

Nini kifanyike ili kuigeuza Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika!

D16721A8-0CAE-440B-8B4B-D680AF2ADA65.jpeg

Kisiwa cha Zanzibar

1C3525BE-E142-4057-9F5B-EE7ACEFEB421.jpeg

Kisiwa cha Seychelles
 
Zanzibar ni sehemu nzuri hakika! Zanzibar kutotajwa au kuonekana sehemu ya kawaida ni sababu ya kuwa kama sehemu ya Tanzania na hivyo credit kushuka ukilinganisha na Seychelles.

Lakini kwa nyakati tofauti nilivyoshuhudia Zanzibar ikitajwa na raia wa nje hasa bara Europa Zanzibar ni worth it!

Kuna mTurkey amewahi kuniambia usiniambie Kilimanjaro nitaenda Bursa au Milima ya Alps, lakini kupata sehemu kama Zanzibar ni hakuna.
 
Hakika...

Shida ni kwamba hawajapata uhuru..na mtawala wao anajua anachofanya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom