Pumbavu sasa wewe, utatupa pole watanzania. Harafu tena unaandika humu jamii forum. Nenda ukamfate huyo muuaji alipo umpepole wewe mwenyewe. Mambo yakuingiza watanzania ni ujinga. NonsenseKwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.
Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?
Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?
Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Kweli kabisaWanaokaa eda ni wanawake tegemezi na ambao hawana kazi rasmi zinaeleweka au kutambuliko au zisizo na umuhimu wowote kwenye jamii.
Eda ndiyo makitu gani mkuuKwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.
Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?
Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?
Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
ok.🐒Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.
Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?
Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?
Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Kwa mujibu wa maandiko yapi?Wanaokaa eda ni wanawake tegemezi na ambao hawana kazi rasmi zinaeleweka au kutambuliko au zisizo na umuhimu wowote kwenye jamii.
Hoja za kipumbavu zinatolewa na watu wapumbavu!Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.
Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?
Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?
Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Kwanza hakuna kazi isiyo muhimu kwenye jamii, hata sisimizi anao umuhimu kwenye jamii.Wanaokaa eda ni wanawake tegemezi na ambao hawana kazi rasmi zinaeleweka au kutambuliko au zisizo na umuhimu wowote kwenye jamii.
Kwa mujibu wa maandiko yapi?
Quran haina ubaguzi inatambua haki sawa kwa wanawake hivyo suala la Eda sio la wanawake fulani tu bali mwanamke yeyote.
Usilete porojo bila relevant authorities.
Kazi ya Kupiga debe na kazi ya udereva ipi isipofanyika ina madhara hasi kuliko nyingine ?Kwanza hakuna kazi isiyo muhimu kwenye jamii, hata sisimizi anao umuhimu kwenye jamii.
🥴🥴🥴🥴 tukusaidie namba za wajomba uongee nao ?Naomba kuuliza nchi inatakiwa kutawaliwa na kiongozi asie na Mwenzi au itakuwaje.?
Matusi tena wakati huu mgumu wa msiba ???? Au unafurahia kifo mkuu.Hoja za kipumbavu zinatolewa na watu wapumbavu!
Huo ni ubaguziWanaokaa eda ni wanawake tegemezi na ambao hawana kazi rasmi zinaeleweka au kutambuliko au zisizo na umuhimu wowote kwenye jamii.