Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Eda ndiyo nini
SecularismSerikali haina dini
Zote zinategemeana.Kazi ya Kupiga debe na kazi ya udereva ipi isipofanyika ina madhara hasi kuliko nyingine ?
Limeulizwa swali la kipumbavu.Matusi tena wakati huu mgumu wa msiba ???? Au unafurahia kifo mkuu.
Unaongeza upumbavu!We unaiona hii hoja ya kipumbavu? Hujawahi kuskia mwanamke wa kiislam akifiwa anakaa Eda?
Katiba haijatungwa kwa ajili ya wenza! Haisemi chochote! Ulitaka isemeje?Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.
Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?
Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?
Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba