kwahiyo wewe ndio una haki zaidi uskizwe? yeye kwa vile ni raisi,sio mwananchi....Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi
Rais anapaswa kufahamu kwamba nchi hii haimilikiwi na vyombo vya ulinzi na usalama bali wananchi kwa ujumla wao.
Mchakato wa Katiba Mpya siyo zawadi bali ni TAKWA la wananchi.
SIsi siyo wajinga
Simplykwahiyo wewe ndio una haki zaidi uskizwe? yeye kwa vile ni raisi,sio mwananchi....
kwan wewe na yeye si wananchi 🐒
na kwani ni lazima muwe na mahitaji, nia na mitazamo sawa juu ya katiba 🐒
kuna ubaya gani kukubaliana kutofautiana 🐒
haya sawa,Simply
Umepanic
Umeona hata hujui unachangia nini.haya sawa,
hata na hivyo pendekezo lako ni after general election, meaning ni 2026 ndipo serikali itaona kama kuna umhuhimu ama haja ya kulifanyia kazi kadiri itakavyoonekana inafaa....
Umeona hata hujui unachangia nini.
Safi sana kwa kujibu kwa.sehemu kwamba Katiba ni mali ya serikali
siyo hivyo tu,Kuna vipaji vingi sana duniani.
Hata upumbavu nao ni kipaji😀
Wewe ni mental Simple.kwahiyo wewe ndio una haki zaidi uskizwe? yeye kwa vile ni raisi,sio mwananchi....
kwan wewe na yeye si wananchi [emoji205]
na kwani ni lazima muwe na mahitaji, nia na mitazamo sawa juu ya katiba [emoji205]
kuna ubaya gani kukubaliana kutofautiana [emoji205]
mental disorder unatia huruma 🐒Wewe ni mental Simple.
Dalili za ubongo uliochanganyika na haja kubwa hizo.ni mali yako pekeyako [emoji205]
sijua halafu nimejibu [emoji12]
Kiukweli elimu ya katiba inahitajika sana!, hakuna uvunjifu wowote wa katiba kwa kuzuia mchakato wa katiba mpya kwasababu kwenye katiba iliyopo hakuna takwa la Katiba mpya!. Ili katiba ivunjwe, lazima katiba iwe na takwa hilo!.Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya.
Haihitaji malaika kujua Watanzania hawaijui katiba, sheria wala haki zao!. Msikilize hapa kwa makiniAnaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika?
Naunga mkono hojaAliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi
Naunga mkono hojaRais anapaswa kufahamu kwamba nchi hii haimilikiwi na vyombo vya ulinzi na usalama bali wananchi kwa ujumla wao.
Mchakato wa katiba mpya ni hisaniMchakato wa Katiba Mpya siyo zawadi bali ni TAKWA la wananchi.
PSIsi siyo wajinga
Mkuu Paskali,Kiukweli elimu ya katiba inahitajika sana!, hakuna uvunjifu wowote wa katiba kwa kuzuia mchakato wa katiba mpya kwasababu kwenye katiba iliyopo hakuna takwa la Katiba mpya!. Ili katiba ivunjwe, lazima katiba iwe na takwa hilo!.
Sample uliyoitumia haijustify kuwa Watanzania hawaielewi ama kuijua Katiba. Naweza kusema uwezekano wa kuokoteza vipande kujustify hoja ndiyo nimeliona hapaHaihitaji malaika kujua Watanzania hawaijui katiba, sheria wala haki zao!. Msikilize hapa kwa makini
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=bmY2lAbL7vLKSaTM
Nini maana ya Katiba?Mchakato wa katiba mpya ni hisani
P
Karibu mitaa hii, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?Mkuu Paskali,
Nini maana ya Katiba?
Nini chimbuko la Katiba?
Katiba ni kitu gani?
Nani anamiliki Katiba?
Hayo maswali ni muhimu kuyaelewa kabla ya kuinuka na kuyajibu.
Katiba sio hisani, it's a necessity but Katiba mpya ni hisani!.Narejea kusema Katiba siyo Hisani
Kama hawataki nguvu itumike kuwaondoa. Nguvu gani? Hapo ndio sijui maana sina ushauri wowote, yaweza kuwa nguvu ya umma au vinginevyohaya sawa,
hata na hivyo pendekezo lako ni after general election, meaning ni 2026 ndipo serikali itaona kama kuna umhuhimu ama haja ya kulifanyia kazi kadiri itakavyoonekana inafaa....
kwasasa just relax,
Jiandae kuchagua viongozi wa serikali za mitaa mweshoni mwa mwaka huu2024 na mwaka ujao 2025 uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais waJMT...