Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 3, 2024 #21 Chakaza said: Kama hawataki nguvu itumike kuwaondoa. Nguvu gani? Hapo ndio sijui maana sina ushauri wowote, yaweza kuwa nguvu ya umma au vinginevyo Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app Click to expand... Jambo muhimu la kuzingatia ni kwamba mchakato wa sasa utakapo anza hata watu wakizira na kususa bunge maalumu, Lazima ukamilike 🤓 maana kudeka kwingine hakuna maana, hawezekani uzire na kususa saivi halafu baadae baadae tena uje kudai na kutamani tena kile kile ulichoziria 🤣 huu ni undezi wa kiwango cha standard gauge kabisa 🐒
Chakaza said: Kama hawataki nguvu itumike kuwaondoa. Nguvu gani? Hapo ndio sijui maana sina ushauri wowote, yaweza kuwa nguvu ya umma au vinginevyo Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app Click to expand... Jambo muhimu la kuzingatia ni kwamba mchakato wa sasa utakapo anza hata watu wakizira na kususa bunge maalumu, Lazima ukamilike 🤓 maana kudeka kwingine hakuna maana, hawezekani uzire na kususa saivi halafu baadae baadae tena uje kudai na kutamani tena kile kile ulichoziria 🤣 huu ni undezi wa kiwango cha standard gauge kabisa 🐒