THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari!
Nilikua napita Republic of Twitter nikakutana na Reply ya Kigwangala akisema kua CCM wote ni utamaduni wao kusifia Rais haijalishi vipi.
Sa najiuliza kama watu walio wengi Bungeni kazi yao ni kusifia tu na sio kukosoa je hawa watu wataleta mabadiliko kweli?
Kumbe hizi Mama anaupiga mwingi ni Sheria?
Je, ipo ndani ya katiba ya CCM?
Na kama ikitokea mtu kaivunja hasifii anakumbana na Adhabu gani?
Na ikiwa ipo, je sio kwamba CCM wanaminya uhuru Wanachama wao wa kutoa Maoni yao kinzani kwa Rais kwenye Public?