Wakuu,
Kuna namna bado sielewi, inamaana Mkoa wa Simiyu kero za wananchi zimetekelezwa zote ?
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi hotuba yake ya leo mbele ya Rais Samia kwenye mkutano wilaya ya Bariadi ameeleza namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyotekelezwa katika Mkoa huo na kuishia...
Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli.
Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb.
Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
Habari!
Nilikua napita Republic of Twitter nikakutana na Reply ya Kigwangala akisema kua CCM wote ni utamaduni wao kusifia Rais haijalishi vipi.
Sa najiuliza kama watu walio wengi Bungeni kazi yao ni kusifia tu na sio kukosoa je hawa watu wataleta mabadiliko kweli?
Kumbe hizi Mama anaupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.