Wakuu,
Kuna namna bado sielewi, inamaana Mkoa wa Simiyu kero za wananchi zimetekelezwa zote ?
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi hotuba yake ya leo mbele ya Rais Samia kwenye mkutano wilaya ya Bariadi ameeleza namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyotekelezwa katika Mkoa huo na kuishia kumwaga sifa kwa Rais, hajawasilisha changamoto ambazo hazijafanyiwa kazi,
Hii inaonyesha Mkoa wa Simiyu wananchi hawana shida yaani ni dohoo shida