THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Inawezekana kabisaNahisi hawajaweka wazi, ila inaonekana tunatakiwa kusifia kwa nguvu zote.
Ccm ni majambazi tu,ukiteuliwa kazi yako moja,ni kutumika kumsifu mwenyekiti,hata kama ka Kaa "vibaya",we sifia tu unachokiona!!ndio maana ccm Kuna machawa wengi!!,Habari!
Nilikua napita Republic of Twitter nikakutana na Reply ya Kigwangala akisema kua CCM wote ni utamaduni wao kusifia Rais haijalishi vipi.
Sa najiuliza kama watu walio wengi Bungeni kazi yao ni kusifia tu na sio kukosoa je hawa watu wataleta mabadiliko kweli?
Kumbe hizi Mama anaupiga mwingi ni Sheria?
Je, ipo ndani ya katiba ya CCM?
Na kama ikitokea mtu kaivunja hasifii anakumbana na Adhabu gani?
Na ikiwa ipo, je sio kwamba CCM wanaminya uhuru Wanachama wao wa kutoa Maoni yao kinzani kwa Rais kwenye Public?
Utapata Tabu Sana, Na Karaha JuuUSIPOMSIFIA UKIONA CHA MTEMA KUNI
Majizi YapoCcm ni majambazi tu,ukiteuliwa kazi yako moja,ni kutumika kumsifu mwenyekiti,hata kama ka Kaa "vibaya",we sifia tu unachokiona!!ndio maana ccm Kuna machawa wengi!!,
Na wao wanajua njaa waliyonayo vijana,hapo lazima wawashike makalio!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Habari!
Nilikua napita Republic of Twitter nikakutana na Reply ya Kigwangala akisema kua CCM wote ni utamaduni wao kusifia Rais haijalishi vipi.
Sa najiuliza kama watu walio wengi Bungeni kazi yao ni kusifia tu na sio kukosoa je hawa watu wataleta mabadiliko kweli?
Kumbe hizi Mama anaupiga mwingi ni Sheria?
Je, ipo ndani ya katiba ya CCM?
Na kama ikitokea mtu kaivunja hasifii anakumbana na Adhabu gani?
Na ikiwa ipo, je sio kwamba CCM wanaminya uhuru Wanachama wao wa kutoa Maoni yao kinzani kwa Rais kwenye Public?
Zidumu fikra sahihi za nani vile?Kusifia kulianza toka enzi za Nduli Iddi Amini Dada