Je, Katibu Mkuu wa CHADEMA analipwa mshahara? Mbona Dkt. Slaa na Dkt. Mashinji wameondoka wakiwa wadaiwa sugu wa benki?

Na utawala ukibadilika watakula jeuri yao. Diplomats haawana madili ya maana akumbuke hilo.
Dr. aliharibiwa na ile nyumba yake ndogo....maana ilienda pale kwa mkakati wa u-festi ledi...iliposhindikana Lumumba wakaja na dau maza akalipitisha sasa hivi wanakula bata kwa mrija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mleta mada ni mashine ya umbea
 
Akili nyingine bwana hivi kumbe mtu kudaiwa bank ni kwamba hana mshahara🙄🙄🙄
 
Hawalipwi,kwa nini usiwalipe wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…